Nimkubalie au?

Nimkubalie au?

Umemkuta anapendeza, ko kuna mtu anahudumia as of now. Anachomanisha n kwamba ukiwa na pesa unamkula,na tabia n kama ngozi,uyo ata kwenye ndoa atakuletea shida siku ukiyumba kiuchumi.
Hakuna wife material hapo,toa hela piga usepe mapema
Sawa mkuu
 
Jaribu kutofautisha wadhifa/nafasi ya baba yake na yake yeye mwenyewe.
Pia sio kila mtoto wa kigogo ni mambo safi. Kuna vigogo wengine wanawalea watoto wao kidhiki hasa.

That being said, kwa mujibu wa hizo msg alizokutumia ni kwamba umekutana na kudangaji kizoefu.
Kitakupurusua mpaka upasue korodani kwa matumaini ya kukuta madini uuze ili umuhudumie zaidi.
Mkuu niposema mtoto wa kigogo sikumaanisha aa kishua. Nimaanisha kabila. Ushauri nimeupokea
 
Wakuu habari.

Kuna ka binti ka kigogo ninekatoke juzi kati. Kakaniambia nikape wiki katanijibu. Nilivyokua nakachulia ni kama ka wife material hivi. In short niko kwenye kutafuta chaka langu la milele.

Sasa bwana nimesubiri hio wiki huku nikijitahidi kuwa romantic kwake kuongeza ushawishi. Sasa jana ndio iliku siku ya kupata majibu yangu. Nikakapigia sim hakakupokea, baadae kakanitext "nitumie sms". Mmh, tukaanza kuchati. Basi wakurungungwa nilitumiwa hizi sms mbili hapa chini.

Jaman masponsor mnatuharibia wake zetu watarajiwa. Sasa iv wanawaza kuhudumiwa tu na sio kujenga familia. Kama mnawahudumia hakikisheni mnawaoa kabisa.

Wanaume wenzangu hali ikoje huko, mmewahi kutana na hii? Yaani sharti la kukubaliwa anakuchana live umhudumie? Kwa uzoefu wangu, hata wale wa mizinga huwa hawatuambii live hivi. Utaona vizinga tu. Na nilichotegemea kwake kama angekua bint mwenye akili basi angenipa shart la kwenda kwao tufuate taratibu. Ningerukaruka kinoma ningemuona anaakili. Ila kwa hili natafuta chaka lingine hadi nikutane na mke wangu. Mm siko kwenye kampeni ya kupinga ndoa. Hawa wapinga ndoa ndio wanatuongezea single mother huku mtaani.

Sasa wakuu sijakajibu hadi sasa. Vip jamani nijilipue? Au itakula kwangu?View attachment 2547146
Slay queen kaa mbali.
 
Yule wa juzi ushamwacha?
Ntafuta mke mumy, natega kote anaezingua anakaa pembeni. Yule nmeweka kando. Leo nikikutana na mwingine njiani napak kushoto, nampa lifti nachukua namba, natekenya akitekenyeka naanza kumpima. Akizingua naweka pembeni
 
Ntafuta mke mumy, natega kote anaezingua anakaa pembeni. Yule nmeweka kando. Leo nikikutana na mwingine njiani napak kushoto, nampa lifti nachukua namba, natekenya akitekenyeka naanza kumpima. Akizingua naweka pembeni
Utafika umemchoka wangu....tulia utampata Kwa wakati
 
Kwenye text zake kuna jumbe mbili kubwa, kwanza kuna mtu anayemhudumia ukiona mtu ni mzuri na anapendeza si kuna mtu anamhudumia sasa ni juhudi zako ili amuache anayemuhudumia kama umenielewa kazi ni kwako

Manzi anakupanga kwenye orodha yake na bado unamuona ni wife material 😂😂😂 kweli mapenzi ugonjwa.
 
Tatizo lipo kwako mzee, Kwani kwa muonekano na alivyo au lifestyle haukujua kuwa atakuwa ni mwanamke wa namna hio yaani unasema unatafuta chaka la kudumu ikowezekana uoe then bado unaanvalia mwenye muonekano na lifestyua Snapchat na Tiktok hutoboi.

Mwanamke unamjua tu kabla ya kumuingia kuwa huyu hivi huyu hivi chaka langu nililonalo sasahivi Nina week mbili nalo pesa pekeeniliyotumia ni kumnunulia Brakefast 1200 na juisi 600 still nitatumia pesa kwako ila ni chache nilizo plan Mimi na kwa mtindo wa kidumisha mapenzi outing, gifting nk hii yote nilishamuona kabla sijamuingia kuwa kwa muonekano na lifestyle yake Hana makuu ni chaka la kuweka kiota
 
We tumia mbinu mgonge basi Kisha achana nae atapata huyo wa kumhudumia mwanamke akiwa keki sana gonga tembea
 
Back
Top Bottom