Nimo ila nilikuwa sijajitambulisha

Nimo ila nilikuwa sijajitambulisha

Dexta

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
2,096
Reaction score
5,211
Habari zenu wanajamvi, nimo humu tangu mwaka juzi ila nilikuwa bado sijajitambulisha kulingana na sababu zangu binafsi, leo nimeona nichukue fursa hii kujitambulisha rasmi.
Naombeni ushirikiano wenu tafadhali.!
 
Wewe ni ME au ni KE? Ushirikiano wangu kwako utategemeana na jinsia yako!
Mimi ni 'ME' Kiongozi..sijui wewe huwa unashirikiana na jinsia ipi..
Ila nitashukuru sana nikipata ushirikiano wako pia.
 
Back
Top Bottom