PSYCHOLOGY
Senior Member
- Feb 10, 2011
- 177
- 14
Hapo kwenye laki si pesa nimecheka sana,wiki ilopita kanga moko walikuwepo Masai Club sasa baada ya kufanya vitu vyao shabiki mmoja akampa mmoja wa wadada jero,yule dada akaiangalia na kumrudishia yule jamaa na kumwambia 'utakunywa soda kesho'.habari ni njema huyo amenogewa na hawezi kuacha kamwe kwani amekueleza kila ki2 anachofanya na huyo dada kuna baadhi anaficha kukwambia acngeng'ang'ania yakimshinda atasepa laki c pesa
Labda wanaonana mara moja kwa mwezi au wiki mbili, kwani msichana ana gari gani?Shantel shost! bwankaka lishamkwama haiwezekani utoe laki ya mafuta kila mara na wewe unatoa tuu bila sababu ya msingi au bila maelewano, sema sasa mzigo ushakua huuwezi tena wakati mwanzo ulijitanusha misuli uonekane na wewe wamo,sasa ushachamba upupu unaanza kuvua nguo moja moja.
habari zenu!
Ninae jamaa yangu anae friend wa kike ambae amekua akishauriana nae kuhusu maisha. Lakin amekua akilalamika kwa tabia zake huyo dada...amekua akimlazimisha mara kwa mara ampe pesa za kujaza mafuta gari zake...japo dada anazo biashara zake nzuri.
Anahitaji kujua ni ipi siri ya huyo dada kumuomba mara kwa mara hizo laki (1 hundred thousand).
Jamaa amekua akimpa lakini anase,a amechoka...mbaya zaid huyo rafik anamuomba kama ni lazima.
Jamaa yangu amekua hana raha.
Afanyeje kumwacha nae hataki!!.
Ndio akome sasa kujitutumua kusiko na haja, amelianzisha mwache alimalize mwenyewe,kama vipi si amwambie kwamba anaumia?Shantel shost! bwankaka lishamkwama haiwezekani utoe laki ya mafuta kila mara na wewe unatoa tuu bila sababu ya msingi au bila maelewano, sema sasa mzigo ushakua huuwezi tena wakati mwanzo ulijitanusha misuli uonekane na wewe wamo,sasa ushachamba upupu unaanza kuvua nguo moja moja.
Ndio akome sasa kujitutumua kusiko na haja, amelianzisha mwache alimalize mwenyewe,kama vipi si amwambie kwamba anaumia?
<br />Laki moja ni mshahara mzima wa mtu wa hali ya chini...iweje mshahara mzima apewe yeye? Bora ionekane humpendi tu............