Nimpe laki moja kama nampenda!

Nimpe laki moja kama nampenda!

huyo binti hana nia nzuri its means that amemfanya mwenzake as ATM ,kwa maana hiyo anae ampendae kwa dhati.
 
habari zenu!
Ninae jamaa yangu anae friend wa kike ambae amekua akishauriana nae kuhusu maisha. Lakin amekua akilalamika kwa tabia zake huyo dada...amekua akimlazimisha mara kwa mara ampe pesa za kujaza mafuta gari zake...japo dada anazo biashara zake nzuri.
Anahitaji kujua ni ipi siri ya huyo dada kumuomba mara kwa mara hizo laki (1 hundred thousand).
Jamaa amekua akimpa lakini anase,a amechoka...mbaya zaid huyo rafik anamuomba kama ni lazima.
Jamaa yangu amekua hana raha.
Afanyeje kumwacha nae hataki!!.
kuna tatizo gani???? Si pesa ya mafuta????....ampe tu wala asilalamike,mapenzi gharama,wenzio wanatoa laki tatutatu na wala hawalalamiki. Kama namnagani vipi atafute wa miatatu mia tatu.....pesa ya daladala.
 
Kweli kabisa kama huna sema, sio unatoa kwa shingo upande na kulalamika ovyo,mtu ukiwa muwazi raha sana, kumsaidia mpenzi wako sio shida hasa kama unao uwezo, kama huna sema tu nina imani atakuelewa
Naamin jamaa analalamikia mizigo anayoibebeshwa ni mizito kwake. Kwani lazima mwanaume pekee ndie awe anaibeba mizigo? Mbona kila kukicha wanasema wanahitaji equaly. Huyo mwana chaurembo ana miliki magari ya fahari mawili..anazo biashara zake hapa mjini mitaa ya kati...halafu asema hana mafuta ya gari!!!
Hata mimi aliponihadith nlitaka kuhamaki...ila nkaona niwe baridi...kwa kua alikua ananipa faida. Nami nimejifunza jambo hapo!
 
huyo binti hana nia nzuri its means that amemfanya mwenzake as ATM ,kwa maana hiyo anae ampendae kwa dhati.
Hizi tabia siku za 85s hazikuepo kabisa! Mambo haya ya utandawazi yalipoenea watu wanazidi kujifunza sana unaijeria!
Nilishaamua kutoanzisha mahusiano hadaa...kama ni rafiki anazo shida zake ntamsaidia mawazo au hicho atachopenda kwa uwezo ntaoamua mimi si yeye!.
 
Back
Top Bottom