Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
Kweli kabisa ukitaka kuserve hela wapo hata wa book. lazima tuwe wazi kila mtu duniani anathamani yake japo tungependa sana wote tuwe hadhi moja. Unampenda mwanamke anagari wewe watembea kwa miguu ukiambiwa weka basi japo mafuta walalama. hoo mapenzi ya kweli yapi hayo ya wewe kuhudumiwa tu? Shuka chini pata wa hadhi yako. ndo maana kuna wanawake wanalipwa na makampuni kwa uzuri wao tu.Mie wanaume wananiuzigi wanavojidaigi kusema wanawake wanapenda pesa kwn kuna mtu hapendi pesa umu?anyooshe kidole basi..kha!ss unataka utumieee tuuu iende mileage kitu afu kutoa huduma ajisoapsopa msichana unasema golddiger wanaume wengne wanaboa kweli yn ishakua defensive mechanism eti anapenda pesa,mwanamke ni ua babu lzm ulihudimie lipendeze ulivomuona ulimkuta kapendeza ukamtamani..ss she has to maintain that!wanawake wanapenda helaa wanawake wanapenda hela imekua wimbo sijui nani anachukia izo hela

Mie wanaume wananiuzigi wanavojidaigi kusema wanawake wanapenda pesa kwn kuna mtu hapendi pesa umu?anyooshe kidole basi..kha!ss unataka utumieee tuuu iende mileage kitu afu kutoa huduma ajisoapsopa msichana unasema golddiger wanaume wengne wanaboa kweli yn ishakua defensive mechanism eti anapenda pesa,mwanamke ni ua babu lzm ulihudimie lipendeze ulivomuona ulimkuta kapendeza ukamtamani..ss she has to maintain that!wanawake wanapenda helaa wanawake wanapenda hela imekua wimbo sijui nani anachukia izo hela
Kweli kabisa kama huna sema, sio unatoa kwa shingo upande na kulalamika ovyo,mtu ukiwa muwazi raha sana, kumsaidia mpenzi wako sio shida hasa kama unao uwezo, kama huna sema tu nina imani atakuelewa

Mwanaume ukimpenda mwanamke kikweli utamhudumia kulingana na uwezo wako. Mwanamke kuomba kwa mpenzi wake sioni tatizo kabisa. Kwani mwanamke anapoamua kuniomba hela,salio, au chochote ana uhakika kuwa ninampenda. Mimi napenda sana mpenzi wangu awe huru kunieleza shida yake na ninafurahi kumsaidia. Lakini kama sina hela naweza kumwambia nikitumaini kuwa atanielewa na atakuwa na subira. Ni udhaifu mkubwa kwa sisi wanaume kumpa hela mpenzi wako huku ukinung'unika moyoni. Kama huna hela kwa nini usimwambie? Kama kweli anakupenda si atakuelewa? Kwenye mapenzi ya kweli hata mwanaume akichacha kama mpenzi wake ana pesa anaweza kumpa. Kwa hiyo hapa hakuna suala wanawake wanapenda pesa mbona hata wanaume wanaomba pesa kwa wanawake? Wengine hutongoza wanawake wenye pesa ili wawatunze. Mimi sikatai kuwa kuna wanawake wenye kuomba kupita kiasi lakini hata wanaume wapo! Ukigundua mpenzi wako amekaa kibiashara zaidi,piga chini chapa mwendo!
Kweli bibie, mwanamke kuhudumiwa mwenzangu inaleta rahaMie wanaume wananiuzigi wanavojidaigi kusema wanawake wanapenda pesa kwn kuna mtu hapendi pesa umu?anyooshe kidole basi..kha!ss unataka utumieee tuuu iende mileage kitu afu kutoa huduma ajisoapsopa msichana unasema golddiger wanaume wengne wanaboa kweli yn ishakua defensive mechanism eti anapenda pesa,mwanamke ni ua babu lzm ulihudimie lipendeze ulivomuona ulimkuta kapendeza ukamtamani..ss she has to maintain that!wanawake wanapenda helaa wanawake wanapenda hela imekua wimbo sijui nani anachukia izo hela

habari ni njema huyo amenogewa na hawezi kuacha kamwe kwani amekueleza kila ki2 anachofanya na huyo dada kuna baadhi anaficha kukwambia acngeng'ang'ania yakimshinda atasepa laki c pesa

Kuna wasichana ni kauzu haswa, mie napenda mtu mwenyewe ajue im in need ila kuombaomba kama yatima duh inataka moyo,ila kama anao uwezo kwa nini asimuhudumie huyo msichana? tena ni bora anaombwa mafuta tu ya gari,mi sioni shida huyo jamaa kumuhudumia. ukiona anampa mara kwa mara ujue uwezo anao, ondoa shaka, najua utakuwa ni wewe mwenyewe, kwani vipi bwanshehe, unajua angekuwa anaona mzigo angesha mwacha kitambo

Tutamsaidiaje wakati yeye mwenyewe kahitimiasha kwakusema hayuko tayari kumwacha?

Hajachoka akichoka atapata jibu!!

Mademu wa namna hiyo wapo! Yan unaweza ukamkimbia adai utadhani we ni TRA!!

MAPENZI ya PESA NAPATA WASIWASI SAANA