Nimpe laki moja kama nampenda!

huyo binti hana nia nzuri its means that amemfanya mwenzake as ATM ,kwa maana hiyo anae ampendae kwa dhati.
 
kuna tatizo gani???? Si pesa ya mafuta????....ampe tu wala asilalamike,mapenzi gharama,wenzio wanatoa laki tatutatu na wala hawalalamiki. Kama namnagani vipi atafute wa miatatu mia tatu.....pesa ya daladala.
 
Kweli kabisa kama huna sema, sio unatoa kwa shingo upande na kulalamika ovyo,mtu ukiwa muwazi raha sana, kumsaidia mpenzi wako sio shida hasa kama unao uwezo, kama huna sema tu nina imani atakuelewa
Naamin jamaa analalamikia mizigo anayoibebeshwa ni mizito kwake. Kwani lazima mwanaume pekee ndie awe anaibeba mizigo? Mbona kila kukicha wanasema wanahitaji equaly. Huyo mwana chaurembo ana miliki magari ya fahari mawili..anazo biashara zake hapa mjini mitaa ya kati...halafu asema hana mafuta ya gari!!!
Hata mimi aliponihadith nlitaka kuhamaki...ila nkaona niwe baridi...kwa kua alikua ananipa faida. Nami nimejifunza jambo hapo!
 
huyo binti hana nia nzuri its means that amemfanya mwenzake as ATM ,kwa maana hiyo anae ampendae kwa dhati.
Hizi tabia siku za 85s hazikuepo kabisa! Mambo haya ya utandawazi yalipoenea watu wanazidi kujifunza sana unaijeria!
Nilishaamua kutoanzisha mahusiano hadaa...kama ni rafiki anazo shida zake ntamsaidia mawazo au hicho atachopenda kwa uwezo ntaoamua mimi si yeye!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…