Nimpelekee zawadi gani, mzazi mwenzangu?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Kuzaa na pisi kali (mchepuko) raha sana, hasa hawa wenye shepu za kinyarwanda, na wameenda hewani, nikisimama naye mi namfikia kwenye bega tu.

Ni miezi saba sasa imepita, tangu ajifungue mtoto wangu; sasa kesho nimepanga nimuibukie huko mkoani, bahati nzuri tumeshafanya mawasiliano, imebakia tu kukutana pamoja na kumuona mtoto wangu (dume la mbegu).

Hapa nilipo natamani pakuche haraka sana, naona masaa hayaendi kabisa, najua chaga zinaenda kuumia hiyo kesho.

Sasa wakuu, mnapendekeza nimpelekee zawadi gani?​
 
Umemzalisha mtoto wa watu amekuwa Single maza. Umempa ticket ya kutoolewa tena

Kipimo hiki unachowafanyia mabinti za watu subiri ukizeeka mabinti zako watakulipa uone kama unafurahisha.
 
umejuaje kuwa huyo ni mtoto wako OG? Umepima DNA?

Umekaa miezi saba hujawahi kumuona toka ajifungue wala hujawahi kuona sura ya mtoto, punguza kiranga..
Alipojifungua nilikwenda kumuona hospitali, pamoja na kukamilisha gharama zingine; kuhusu uhakika kama ni wangu au si wangu ni sawa na mimi/wewe umkatae baba yako mzazi kwa sababu hajathibitisha kama wewe ni mwanae kwa DNA​
 
Ila inakuruhusu kuwa na mchepuko una mharibia Maisha Msichana wa watu na hapo hatokaa apate wa kumuoa maisha yake yoote maana vija a tumeshauriana hakuna kuoa single maza bidhaa chakavu.
Ila kuzaa na pisi kali raha sana, unakuwa unapasha pasha kiporo kiaina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…