Kuzaa na pisi kali (mchepuko) raha sana, hasa hawa wenye shepu za kinyarwanda, na wameenda hewani, nikisimama naye mi namfikia kwenye bega tu.
Ni miezi saba sasa imepita, tangu ajifungue mtoto wangu; sasa kesho nimepanga nimuibukie huko mkoani, bahati nzuri tumeshafanya mawasiliano, imebakia tu kukutana pamoja na kumuona mtoto wangu (dume la mbegu).
Hapa nilipo natamani pakuche haraka sana, naona masaa hayaendi kabisa, najua chaga zinaenda kuumia hiyo kesho.
Sasa wakuu, mnapendekeza nimpelekee zawadi gani?