Yani wewe π π π mpelekee Gari la kuendea clinicKuzaa na pisi kali (mchepuko) raha sana, hasa hawa wenye shepu za kinyarwanda, na wameenda hewani, nikisimama naye mi namfikia kwenye bega tu.
Ni miezi saba sasa imepita, tangu ajifungue mtoto wangu; sasa kesho nimepanga nimuibukie huko mkoani, bahati nzuri tumeshafanya mawasiliano, imebakia tu kukutana pamoja na kumuona mtoto wangu (dume la mbegu).
Hapa nilipo natamani pakuche haraka sana, naona masaa hayaendi kabisa, najua chaga zinaenda kuumia hiyo kesho.
Sasa wakuu, mnapendekeza nimpelekee zawadi gani?
Pisi kali inaolewaga mkuu.!?Unamdanganya na sisi unatudanganya.
Kama angekuwa mzuri kama unavyodai kinachokufanya usimuoe ni nini?
Naogopa katoto katakuwa kanalia ng'aaa ng'aaa πHakikisha godoro linatota, soma kwa kurudia
Mbona unaniombea mabaya mkuuKama huyo Mtoto ni wakwako niite....
Vitenge tu mzee wanguKuzaa na pisi kali (mchepuko) raha sana, hasa hawa wenye shepu za kinyarwanda, na wameenda hewani, nikisimama naye mi namfikia kwenye bega tu.
Ni miezi saba sasa imepita, tangu ajifungue mtoto wangu; sasa kesho nimepanga nimuibukie huko mkoani, bahati nzuri tumeshafanya mawasiliano, imebakia tu kukutana pamoja na kumuona mtoto wangu (dume la mbegu).
Hapa nilipo natamani pakuche haraka sana, naona masaa hayaendi kabisa, najua chaga zinaenda kuumia hiyo kesho.
Sasa wakuu, mnapendekeza nimpelekee zawadi gani?
Nimeondoka na madini mawili matatu; bibie ananiambia sasa nipunguze starehe nilee mtoto1. Kitendo cha kukuzidi urefu tayari hii ni kipengele. Jiandae nacho, wanawake wakishazaa wananawiri.... akinawiri kuna wataomtamani.... sijui ufanyaje hapo ila yafaa saa ya kula denda mwanamke uning'inie kufata midomo ya mwanaume sio wewe ndo uning'inie kwenye shingo ya mwanaume.... Ila pia unaweza ipotezea hii.
2. Peleka vifaa baadhi vya mtoto maana watoto huwa wanakua haraka sana, utakuta vishati vimeshambana na baby shoo zimechakaa.
3. Tafuta kitu kimoja kati ya vitu anapenda huyo mdemu wako umpelekee kimoja, atakupokea kwa bashasha sana. Mimi na wengine humu hatujui nini anapendelea...
Mfqno kama anapendq sana kushinda mitandaoni, kamfungie wifi hapo nyumbani kwake ili atulie nyumbani alee mtoto vizuri.
Malezi ya mtoto ni ya baba na mama, single parenting si rahisi kama vile inavyoimbwa humu mitandaoni. Kila leo tunaona na kushuhudia changamoto zake.
4. Beba vipimo vya kujua afya zenu kabla hamjarukiana kujamiiana. Utaepusha mengi kama mmoja wenu ana magonjwa ambukizi mtibiane kwanza ndo mrukiane, yaweza kuta pia ana mimba ya mwezi au wiki 2, ukiingia kichwa kichwa hapo utajaela mtoto asiye haramu halafu miaka kadhaa mbele uje kusababisha masaka baqda ya kuujua ukweli.
Alamsiki.
Bi. Kasinde.
Nalipokea kwa utekelezajiVitenge tu mzee wangu
Ukioa unakaribisha umasikiniPisi
Pisi kali inaolewaga mkuu.!?
Hunitakii mema weweYani wewe π π π mpelekee Gari la kuendea clinic
Nyie mnaishi dunia ya wapi haya mambo yasiwatokee π π , kesho chaga zinaenda kuumiaWe mshikaji story zako za kubuni sana aisee tena za uongo uongo aisee
Mimi sio incubator πΉNjoo unizalie mapacha basiii
Jiandae kupakwa mafuta na anaekutunzia huyo mwanamke na mtotoUkioa unakaribisha umasikini