kuna binti fulan hapa kitaani kesha niteka kwa hisia za mapenzi, yan hata hapa niandikapo sms hii picha yake naiona usoni. Mtoto mkalee, mtoto msomi, ana pozi, smile, muelewa wa mambo dah! Nashindwa mwambia nampenda though najua anajua nampenda, nambieni nifanyeje nimmiliki huyu mtoto wadau!
nipe namba yake ya simu plz!
MKUU, HIVI WEWE NI hr666kuna binti fulan hapa kitaani kesha niteka kwa hisia za mapenzi, yan hata hapa niandikapo sms hii picha yake naiona usoni. Mtoto mkalee, mtoto msomi, ana pozi, smile, muelewa wa mambo dah! Nashindwa mwambia nampenda though najua anajua nampenda, nambieni nifanyeje nimmiliki huyu mtoto wadau!