Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 806
kuna binti fulan hapa kitaani kesha niteka kwa hisia za mapenzi, yan hata hapa niandikapo sms hii picha yake naiona usoni. Mtoto mkalee, mtoto msomi, ana pozi, smile, muelewa wa mambo dah! Nashindwa mwambia nampenda though najua anajua nampenda, nambieni nifanyeje nimmiliki huyu mtoto wadau!