Nimpende Na kumuoa nani!

Yaani ni mtoto Wa mama mno,sijui kama atakuja kutoka kwao.mama yake mzazi anamganda mno hataki binti yake aolewe,akitoka kidogo kuja gheto mamake anapiga simu weeee wakati huyu ni mtu mzima
Anauchungu na mwanae anajua anamegwa
 
Fanya venye moyoo wako unapenda, sitaki kuja kulaumiwa na ushauri wangu!!!

Lakini kumbuka chozi la mtu likikulilia sababu ya ahadi zako ni mikosi tosha. Usisahau kuomba toba kwa ajili ya hilo
 
" nipo katika hatua za mwishoni kufunga ndoa January " seriously!? Au unatuchora tu bob
 
Niachie huyo wa tatu nitakusaidia pia kulea ni kabila langu pia
 
Kamata huyo wa3 mengine mtavumiliana maana hata wewe mwenyewe moto mkali so mtaendana usiporudi na yy halali ndani basi bilabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…