Nimpende nani kati ya Madame B na Nasema

afu Baba V,
unajua wewe ndo mchawi wangu.
Sasa hayo yaliyopita umakumbushia ili iwe vipi?
Na akijaribu kunimwaga ni lazima unipe hifadhi.....!!!
Utake usitake.

Kama kukupa hifadhi tu usijali, hata kodi ya nyumba ntakulipia, ila tambua kuwa wanakumwaga sababu ya tabia zako, mtoto chunachuna ka nini, usione wallet nguo zinakuchojoka!!!???
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahah Baba V waswahili husema kila shetani na mmbuyu wake,simaanishi Madame B ni shetani bali naexplain kuwa hao hawakuwa fit or the rightmen for her,she deserves to be adored,to be luvd,thats it pa

Kama ndo hivyo basi Madame B ni kila mbuyu ni wake, angalia tu keshokutwa usirudi hapa kama Chilli
 
Last edited by a moderator:

Viatu laki 3,wese ....... K mwambie mangi aandike invoice ya vitu atakavyochukua my darling aka my sweetheart aka my sugar.

Madame B, nakupitia basi tukaangalia viatu na costume za kuogelea kwa mange. Muambie shem afanye walau kakiatu ka laki 3. Mjini kulindana. Afuvatume na wese kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Madame B, nakupitia basi tukaangalia viatu na costume za kuogelea kwa mange. Muambie shem afanye walau kakiatu ka laki 3. Mjini kulindana. Afuvatume na wese kabisa.

Usijali mrembo King'asti,
si unajua mjini form six tosha?
Lazima tufanye kufuru.
 
Last edited by a moderator:
Madame B, hivi Shem ni nani? maana kama sielewi elewi hivi na nakaribia kupata breini konkasheni
 
Last edited by a moderator:
Kama kukupa hifadhi tu usijali, hata kodi ya nyumba ntakulipia, ila tambua kuwa wanakumwaga sababu ya tabia zako, mtoto chunachuna ka nini, usione wallet nguo zinakuchojoka!!!???

Kwa watu wasikivu huwaga una mawazo mazuri, sometimes!!
 
Ukisikia Pasua kichwa ndio hapo sasa. Ukipigwa usipige kelele!!
 
watu8 mabinti zangu wote nawafundisha ujasiriamali sitaki tena mzidi kuwanyanyapaa,
nataka wawe majasiri kama mimi mama yao.

Madame B, hivi Shem ni nani? maana kama sielewi elewi hivi na nakaribia kupata breini konkasheni
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…