Chilli
JF-Expert Member
- Jul 17, 2011
- 1,655
- 744
Unan'dai kwani?
Unajidai hujui eeh?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unan'dai kwani?
Maana yake nini kuwa shem ndio nani?
Simba mwenda pole ndiye mla nyama
Nilikuaga na mupenzi akanizingua,na leo nataka Madame B nimuenzi,isije siku,miezi nae akanisumbua,
naogopa sana vichanga kama Nasema wasije wakanitenda nikazama na huku nina mapenzi ya ukweli.
Wazuri ni wengi ila kuwapata wenye mapenzi ya ukweli kama Madame B ndio balaa,wengi wajanja watoto wa mjini kama cacico wamejaa utapeli na tamaa za pesa kama Mirhea.
Yasiwe kama ya Mamndenyi kila siku mlimani city,usimtake ka Nasema nimteme ana hasira,mpole kama charminglady ila sauti ka darling Madame B akiwa analia kicheko kama cha asali ya moyo wangu Madame B,
baby Madame B ur my number one,uliniomba niconfess hadharani kuwa wewe ni zaidi nami nimefanya hivyo.baby ur my number one.
Nawaza ukumbi mamii,tutumie ukumbi wa kempinski ama nyumba yetu mpya?
Thanks Madame B,
najua kwako nitapokea kadi za mwaliko kibao.......... mwache aingie kichwa kichwa..... ukishamliza utuambie tukulengeshee mwingine naye apate kichapo hahaaaaa