Nilikuaga na mupenzi akanizingua,na leo nataka
Madame B nimuenzi,isije siku,miezi nae akanisumbua,
naogopa sana vichanga kama
Nasema wasije wakanitenda nikazama na huku nina mapenzi ya ukweli.
Wazuri ni wengi ila kuwapata wenye mapenzi ya ukweli kama
Madame B ndio balaa,wengi wajanja watoto wa mjini kama
cacico wamejaa utapeli na tamaa za pesa kama
Mirhea.
Yasiwe kama ya
Mamndenyi kila siku mlimani city,usimtake ka
Nasema nimteme ana hasira,mpole kama
charminglady ila sauti ka darling
Madame B akiwa analia kicheko kama cha asali ya moyo wangu
Madame B,
baby Madame B ur my number one,uliniomba niconfess hadharani kuwa wewe ni zaidi nami nimefanya hivyo.baby ur my number one.