Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa ndipo mnaponiudhi yaani hata hujatongozwa ushaanza kuomba voja za jerojero
Lily Flower switii,
wewe si ndio ulinifundisha niseme hvo?
Leo unanikana?
Haya nanyamaza mpenzi ila yakizidi unga,nakufuata,na Mungi hakufanyi lolote.
Bora umenihakikishia mabavu yako mambo yakipinda huku, senki yuu Madame B.
Madame B unatafuta kitu chenye ncha kaliLily Flower switii,
wewe si ndio ulinifundisha niseme hvo?
Leo unanikana?
Haya nanyamaza mpenzi ila yakizidi unga,nakufuata,na Mungi hakufanyi lolote.
Za Asubuhi baba nanilii.....
Shhhhiiiiiiiiiiiiiiiii!!! Wanga wengi humu wifey.hubby wangu Asprin kam zis way usikie maneno kuntu juu ya mkeo! eti mie mutoto ya mujini??!! hubby game la jana sina la kusema! hebu njoo PM nikupongeze!! mwahhhhh!