Nimpende nani? Nimpendee nani? Hakuna?

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Duh Pipi tamu bhana sasa humu tu unajivua akili hivi je ukiolewa itakuwaje? Hebu tuliza mihemko basi. Utaolewa tu Bibie. Huwezi ukajua thamani ya kitu kama haujakisotea
 
KHAAH DADAπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ mwanaume hatukanwi ivo
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Duh Pipi tamu bhana sasa humu tu unajivua akili hivi je ukiolewa itakuwaje? Hebu tuliza mihemko basi. Utaolewa tu Bibie. Huwezi ukajua thamani ya kitu kama haujakisotea
Aloooh
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Pale Anonymous anapomtolea povu Anonymous mwenzake povu. Haki ya Mungu vijana tunapitia changamoto sana
 
We upweke unakutesa miaka mingi sana kuwa makini ngunga ikizidi siyo kitu kizuri utaanza kuchekacheka hovyo siku siyo nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…