Nimpende nani...

πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
umeamua kuulinda uzi wako spesheli
Hii ni tatu mzuka atakuwa ananichora kama kweli nipo serious yawezeka huyu ni handsome alafu mjedaaa
 
Anaona aibu huyuuu kwa kweli hata kutongoza mpaka azungukeee wewe kaamua kutaja jina ambalo halijulikani
hahahah anaogopa mashindano maana wengine wanaokuwinda wakijua na yeye kajiunga rasmi kwenye mbio watamfanyia fitna
 
Wewe mtoa uzi uko busy piem au hebu njooo haraka bhn
 

Nimechungulia last seen ndo hiyo naona umeenda kuangalia mapigo ya moyo kwanza
 
hahahah anaogopa mashindano maana wengine wanaokuwinda wakijua na yeye kajiunga rasmi kwenye mbio watamfanyia fitna
Kumbe nilkuwa sjui kumbe huwa kuna fitina eeeeh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…