Nimpende nani...

Nimpende nani...

bado mapema...kazana tu
Beira boy kala ban sijui amefanyaje huyu anajifanya dogo yupo jf toka mwaka 2016 litakuwa zee linaact toto ngoja afunguliwe akutane na uzi wake
 
hahahah hata sijui kama kazawadiwa ban...
kafanyaje kwani?
 
Nimeenda huko kufukua makabur yakee sijaona wapi sijui katukana sijuinkafanyaje nimechok mm nimeacha najua lazima ana id nyingine hawez kuishi bila jf
 
duh!
pole yake
 
Empty set ameshakumbatia mwanamke mwingine hukoo kashindwa kuingia jf hapa namsubir kwa hamu kutuchomesha mahindi ndo nn
😀😀😀
we si umemuwekea solex ndo maana
 
Back
Top Bottom