Nimpende nani...

Hahahha anaogopa kunifungulia uzi wa kunitongoza watamwita kichaaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Ni mfano tu kwasababu nimeona kama vile nimekuzowea, ikiwa kuna mtu aje.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]muulize sasa mwanamke gan atamfata pm kama ameshaandika cha mdeko kuna fursa labda wale wasiolijua hilo jina wakazan anataka kudeka kama huyo aliyewahi siti alivyoccoment
Pumzika...
 
Anaona aibu huyuuu kwa kweli hata kutongoza mpaka azungukeee wewe kaamua kutaja jina ambalo halijulikani
Nimeshajuta kutaja hilo jina maana naona hakuna hata mmoja aliekuja dah! Ni masikitiko kwakweli.
Jamani mkuje huku nafasi ipo hilo jina ni mbwembwe tu ye mwenyewe anajua.
 
Empty set ameshakumbatia mwanamke mwingine hukoo kashindwa kuingia jf hapa namsubir kwa hamu kutuchomesha mahindi ndo nn
Hahaha...Hapana binam yangu...nilipitiwa na usingizi hatari.
 
Njoo. Ila uje na picha mbili moja ionyeshe sura vizuri nyingine ionyeshe mwili mzima, docs zozote za mali unazomiliki na bank statement. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha nakuja kununua kiwanja loh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…