Ocean road
JF-Expert Member
- Jul 15, 2017
- 631
- 304
1 demi
Uyu amepanda hewan anatabia Za kirastafarai, ni maji yakunde Ana msambwanda anapenda kuweka rangi mikonon tu yupo cool sio mwongeaji sana anasmile kwa watu anaowajua tu km hakufaham hata Salam upati anachelewa kulala na anaamsha popo mapema anakunywa pombe kali ila yupo smart napenda kucha Zake mi cha kwanza kwa demu huchek kwanza kucha Zake
Love you my baby
2 Maserati
Huyu Ana rangi ya chocolate umbo km jokate ana msambwanda anafake smile kwa watu asiowamaind anapenda Kuendesha Gari anapenda story za ubuyu anapenda siasa ila nimempiga pini aachane na hizo mambo kipind yupo chuo alikuwa hapend maboys lkn Sasa yupo dilemma awe nani nimemwambia mi nipo tayar hawez Kaz Za jasho na anapenda dompo love you my queen
3 emmyta
Ahahahaha huyu anatabia Za kizanzibari ni black beauty mrefu ivi dizain fetty Ana msambwanda Ana Natural simile ningekuwa C. O wa crdb ningempa usekretary wangu niwe namtania ili a tabasam hapend sana company anapenda kujifungia ndani weekend anatongozwa na wengi ila anaogopa kunisalit ana dimpoz kwambaaaali love you my prince
4 mahandw
Huyu Kuna limjamaa linamkamatia siwez kumfagilia msela ake ataleta Za kuliakulia ila ana penda madanga love you honey ukiweza achana na uyo mzee njoo unipe shooo mnyamwez
Ila wote wanapenda ubuyu haya niambien nimpende yupi Kati yao nitatangaza aliyebahatika Kuwa na mimi ama nn
Wa kishua