Jama alikuwa anadanganya sana abiria katika gari. akipaza sauti ya kuonyesha Isreal ina nguvu na kuwadanganya abiria ambao uelewa wao mdogo katika swala hili. Nilipombana kwa hoja agaeuza maneno. alajifanya hapendi vita vile. akijifanya kuongea kiengereza kama msomi vile kumbe 0. aliotuona tumevaa bagharashia akatuona hatujui kitu duniani kumbe sivo.
baada ya kujiona mdogo kihoja akanyamaza
baada ya kujiona mdogo kihoja akanyamaza