CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Habari Wana jukwaa.
Nitaandika kwa KIFUPI Mno.
NIMPONGEZE muwekezaji Mohamed Gulam DEWJI kwa kuipeleka timu Dubai kwa maandalizi ya MICHEZO ya KLABU BINGWA na kujiweka tayari kwa LIGI KUU.
Mchezaji Bora wa Simba kwa Miaka MIWILI Baada ya kuondoka Chama ni Henock Inonga.
Inonga Amepata Jerahi dhidi ya Tanzania Prison kwanini Aachwe Dar es salaam Asiende kupata MATIBABU Dubai?
Dubai Kuna Vifaa Tiba.
Kuna wataalamu.
Kuna MADAWA.
Kuna madaktari BINGWA nknk.
HILI LIMENISIKITISHA SANA.
2 MO.
TUNAOMBA uajiri MKURUGENZI wa Ufundi Simba.
Usajili kama
Dejan.
Okwa.
Akpan.
Banda.
Kanute.
Okra.
Huu ni usajili mbovu sana.
Hawa wachezaji ni Mzigo kwa KLABU.
Nyoni.
Boko.
Mkude.
Gadiel.
KIBU.
Kyombo.
Hawa ni TATIZO mno.