Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mwambie kuna mishe unaisikilizia utamjibu. Usiasahau kutekeleza na ilani ya chama. Mkuu unae Mungu sana ungeenda tu kupasha kiporo basi ungebambikiwa hiyo mimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi hivyo umenipa maarifa mapyaHuenda hata mimba hana anatafuta pesa.
Ipo hivi nilikuwa penzini na demu fulani hivi lkn mwaka Jana katikati tuliachana kimyakimya baada ya kustukia mauzauza kwenye simu yake so kila mtu akajua mambo yake lkn tuliendelea kuwa friends na Salam fupifupi
Kanzia mwezi Novembea mwaka Jana akawa anazidisha mawasiliano na kuomba turudie game nilimhoji vipi kipindi ambacho hatukuwa pamoja hukuwa na mtu? Akanijibu alikuwa naye lkn wameachana so aliendelea kuomba tukumbushie mechi nikawa namzuga zuga
Wiki iliopita akanitext akanambia naomba unisamehe kwa nitakayokueleza, nikamuambia usijali ongea tu..., akanambia amebeba ujauzito wa jamaa aliyekuwaga naye halafu jamaa katimka na simu hapokei na yeye hali yake ni ngumu hata pesa ya kula inamshinda hivyo ameomba nimsaidie kutoa mimba.
Naombeni ushauri wenu nimsaidie au nikaushe.