Access Denied
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 655
- 210
Wanajamvi naomba mnisaidie kwa mawazo huyu ni mdogo wangu ameangukia division four ya point 26 na amefanikiwa kupata C mbili tu za chemistry na biology ila physics ana D na yeye ndoto zake ni kuendelea na form five kwa combination ya PCB na hapo tatizo ni kwamba hana credit 3 inabidi atafute nyingine na ameshikilia msimamo wake wa kuendelea na form five hataki kabisa chuo.
Sasa wasiwasi wangu huo upatikanaji wa hiyo credit moja na nimesikia siku hizi ku re-sit ni lazima kufanya masomo kuanzia 7 na cheti cha kwanza hufutwa, je ni kweli iko hivyo na kama ndo hivyo nimshauri nini mdogo wangu?
Naombeni msaada wenu wana jamvi ahsanteni sana.