Nimsaliti mpenzi wangu?

Nimsaliti mpenzi wangu?

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,271
Reaction score
1,803
Jamani mwaka jana mwez wa 5 nilifanikiwa kupata mpenzi ambaye ni mzuri sijawah ona. Alikuwa Anagombaniwa na kila mtu mtaani. Alikuwa Ananipenda sana, tulikubaliana tutaoana.Alikuwa ni mgeni mtaa coz alifiwa na baba yake Mbeya so akaja kwa sista yake Songea mara 1.

Alikuwa olvl,hadi mama alijua kama tuna mahusiano na alikuwa b.k coz nilishawahi kuingia nae geto nikajaribu kusex but ilishndkana coz alikuwa muoga pia hakuwah kabisa had tukagombana baada ya mda tukapatana.Tulikuwa Pamoja kama miezi miwili kabla ya mimi kupata nafasi ya kwenda kusoma a level.

Yeye alibaki mtaani hadi pale alipoondoka mwezi baada ya mimi kuondoka kaenda kwa mama yake kusoma. Nilirudi likizo sikumkuta niliumia sana na sijawahi kuwasiliana nae toka mda ule kaondoka ilihali niliwahi mpa namba yangu siidhani kama aliitunza.

Lakini nikiwa huku shule nimekutana na wadada wengine wazuri ila hawamzidi yeye ambao nimeanza kushawishika kuwa nao coz nahisi siwezi onana nae tena.

Naombeni ushauri nimsaliti au nimsubiri hadi pale siku tutakapoonana tutimize ahadi yeut ya kuoana.
 
Usipokuwa makini na shule yako utalia soon.

Kusoma Nasoma Na Niko Vizuri Darasan Kwa Masomo Yang Nakimbiza Darasan,bt Ukwel Nampenda Sana Yule Mdada
 
Ungefunga ndoa na masomo yako kwanza, achana na hao mabinti wa kila lichwapo leo wazuri wanazaliwa tu
 
Achana na mapenzi kwanza subiri ukue kidogo, akili yako bado haijakuwa
 
Unachezea shule sio, we jifariji tu uko vzur darani. Matokeo yakitoka utaelewa tu kuwa kansime sio nshomile
 
Mi nailaumu SERIKALI SIKIVU YA TANZANIA kwa kukosa hela hali iliyopelekea shule kukosa fedha kwa sababu wazabuni hawajalipwa kwahiyo kugoma kuendelea kuzikopesha shule na taasisi za elimu hivyo kufanya shule kufunga kwa sababu hazina CHAKULA na kupelekea wewe bwana mdogo kuja hapa kuandika ujinga kama huu badala ya kusoma. Narudia tena sikulaumu wewe sio kosa lako ni kosa la SERIKALI YETU SIKUVU YA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
 
Jamani Mwaka Jana Mwez Wa 5 Nilifanikiwa Kupata Mpenzi Ambaye Ni Mzuri Sijawah Ona.Alikuwa Anagombaniwa Na Kila Mt Mtaan.Alikuwa Ananipenda Sana,tulikubaliana tutaoana.Alikuwa N Mgen Mtaa Coz Alifiwa Na Bab Ake Mbeya So Akaja Kwa Sista Ake Songea Mara 1.Alikuwa O Lvl,had Mama Alijua Kama Tuna Mahusiano Na Alikuwa B.k Coz Nilishawah Kuingia Nae Geto Nikajarib Kusex Bt Ilishndkana Coz Alikuwa Muoga Pia Hakuwah Kabisa Had Tukagombana Baada Ya Mda Tukapatana.Tulikuwa Pamoja Kama Miez Miwili Kabla Ya Mimi Kupata Nafas Ya Kwenda Kusoma A Level .Yeye Alibak Mtaan Had Pale Alipoondoka Mwez Baada Ya Mim Kuondoka Kaenda Kwa Mam Ake Kusoma.Nilirud Likzo Sikumkuta Niliumia Sana Na Sijawah Kuwasiliana Nae Toka Mda Ule Kaondoka Ilihal Nilwah Mpa Namba Yang Cidhan Kama Aliitunza.Lakin Nikiwa Hku Shule Nimekutana Na Wadada Wengne Wazur Ila Hawamzid Yey Ambao Nimeanza Kushawishka Kuwa Nao Coz Nahc Ciwez Onana Nae Tena .Naomben Ushaur Nimsalit Au Nimsubir Had Pale Siku Tutakapoonana Tutimize Ahad Yet Ya Kuoana??

Soma kijana mapenz utayakuta tuu acha kumiangaikia mtu ambae hana mda nawwe mdogo wangu
Mmi mwenyewe wa songea wew songea sehemu gani mimi mjimwema
 
Jifunze kuandika kiswahili/kiingereza kwa ufasaha kwanza ndipo uje uombe ushauri!
It is so Pathetic to have an Advanced Level Student writing like that!
 
Hivi hii elimu ya Bongo ina shida gani? Yaani kama kweli huyu dogo yupo 'A' level basi kazi ipo. Hakuna vituo, koma wala aya.

Dogo kwanza jifunze kuandika vizuri. Halafu ukishamaliza jitahidi usome baada ya hapo utaangalia mpango wa mapenzi.
 
Ningekua babako, hakika ungechezea kichapo halali kilicho thibitishwa na tbs....
 
Back
Top Bottom