Salam kwenu wakuu,
Ni msichana, alimaliza form 6 2010 combination ya CBG. Matokeo yake hayakuwa mazuri, alipata Div 4 ya 18 ( masomo yote alipata S). Anataka kujiunga na elimu ya juu (degree) lakini part time. Pia hapendi course zenye hesabu hesabu. Priority yake ipo kwenye kozi ya Education lakini anafikiria pia kozi zingine. Je chuo gani kitamfaa? Kozi gani?
Natanguliza shukrani wakuu.
degree hana sifa! Mwambie aende diploma! pia hko hana sifa atatakiwa aanze na foundation course! note nazungumzia vyuo vizur vinavyotoa diploma! Bt kama vyuo vile vya ghorofa ya 4 atapata, note direct entry for diploma ni E moja na S moja
Kama chuo gani mkuu anaweza kwenda? Kozi gani? na je, yale mambo ya mature entry na pre entry siku hizi hamna?
Salam kwenu wakuu,
Ni msichana, alimaliza form 6 2010 combination ya CBG. Matokeo yake hayakuwa mazuri, alipata Div 4 ya 18 ( masomo yote alipata S). Anataka kujiunga na elimu ya juu (degree) lakini part time. Pia hapendi course zenye hesabu hesabu. Priority yake ipo kwenye kozi ya Education lakini anafikiria pia kozi zingine. Je chuo gani kitamfaa? Kozi gani?
Natanguliza shukrani wakuu.
dah,nimemurumia sana but bado ana nafasi,asikate tamaa,mm namshauri akasome diploma ya procurement njiro Arusha kuna mchizi wangua alisomaga tena komb yake ilikuwa HGE,akimaliza akifaulu vizuri anaendelea na degree ya kitu anacho taka,ila hesabu ni kama kawa kwani sii amesoma bam??
kozi gani mkuu?
Mkuu anataka kusoma dar kwa sababu biashara zake zipo huku,,hamna namna nyingine?
kwa dar,nitakudanganya im not sure but nenda IFM ulizia ,majibu utayapata bro,au jaribu kugoogle icho chuo na na iyo facult uone wanaitaji mtu mwenye sifa gani,ila ata MUCCOBS moshi anapata kama kawa,ila cos ataki kutoka Dar,mchekie hukohuko iyo facult ya procurement,au zingine kulingana na sifa zake,cos now dayz kila sifa ina chuo na program yakusomea,ata kama angepata dvn O bama,