GKM
JF-Expert Member
- Dec 5, 2012
- 738
- 328
Salam kwenu wakuu,
Ni msichana, alimaliza form 6 2010 combination ya CBG. Matokeo yake hayakuwa mazuri, alipata Div 4 ya 18 ( masomo yote alipata S). Anataka kujiunga na elimu ya juu (degree) lakini part time. Pia hapendi course zenye hesabu hesabu. Priority yake ipo kwenye kozi ya Education lakini anafikiria pia kozi zingine. Je chuo gani kitamfaa? Kozi gani?
Natanguliza shukrani wakuu.