Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,089
- Thread starter
-
- #21
Mimi sijashiriki katika hili na hivyo Mungu hatanihukumu bali rafiki yangu alikuja omba ushauri juu ya hili na nikaona niliweke hapa ili tumshauri la kufanya maana si jambo dogo na hata mimi linaniogopesha ndio maana sikuweza kumshauri kwa haraka nini cha kufanya.Inafungiwa wapi hiyo ndoa nikaweke pingamizi la haki?
Hivi Joseph hebu geuza picha iwe rafikiyo ndo nafanyiwa haya; achana na hiyo iwe ndio wewe ama mdogo wako ama kaka yako ama yeyote anayekuhusu!
Piga picha halafu uone unyama unaoshiriki kumfanyia binadamu mwenzio haki yanai LAANA na iko juu yenu nyote hata kama itawachukua 50 yrs am telling you MUNGU HAJARIBIWI hivyo hata siku moja!
Jambo la msingi alilotaka kujua ni, je mtoto akizaliwa atakuwa na haki ya kumpata akimtaka?