Nimsomeshe kisha nimuoe aje kua mke(akimaliza form four)

Ana umri gani huyo msichana?

Yupo form ngapi ?

Pia kama ana miaka zaidi ya 16 unamweleza kwanza.... aelewe na akukubali then hayo mengine yafuate tena baada ya kumuweka ndani na kumzalisha... vinginevyo balaa inakujia....

Kama bado mdogo hajajitambua usijisumbue....mapenzi hayalazimishwi
 
Rafiki yangu unacheza mchezo wa kubett wew, mbona una hatari sana?
Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni nini? Umempenda kiasi kwamba uzuri wake hujaona mabinti wengine?
 
Pole yaani yy hajui chochote afu umsomeshe kila mtu anachaguo lake ikiwa haupo mwenye chaguo lake afu mkataba umeingia na mlezi wake unahatari ww. Msomeshe kwa kumsaidia tu sio uje uoe hiyo nikama unacheza biko
 
Mmh. Wakati unawaza yote hayo jua kwamba umri wako unazidi kwenda na hakuna wadada wanaokubali kuolewa na wazee siku hizi labda ahangaike weeee na asipate mwenza ndio huenda akaona mzee ana thamani na hapo akikubali yatakiwa uwe na uwezo wa kifedha pia na sio hela za tia maji tia maji.
 
Reactions: BAK
Tenda wema nenda zako....
 
Haaaaa bora angekuwa anaenda chuo sawa ila huko hapana sababu kabla hajaripoti chuo mimba mwaka wa 1 mimba mwaka 2 mimba ana graduate mimba ila kwa hako katoto ka miaka 14 ikisemekana tu unakala kaz unayo
 
Nikupe pole sana mkuu ....ngoja kifikee form 2
 
Msomeshe kama unajitolea siyo mbaya unapata fadhila kwa mwenyezi Mungu!! Pia unakuwa umeacha alama kwenye maisha ya huyo binti..Naye ameenda kutoa tongotongo
 
Tafuta Gorofa la kwenda kujirusha Mapema siku ikifika tukakusubiri chini....
Haaaaaa! Hii inaukweli sana. Ni hatari kisaikolojia kumsomesha MTU ili umuoe utajiweka hatiani kama yeye atabadili mawazo. Ni bora uje umkatae ww kwako afadhari. Story ya ufooooo saraaa itakuhusu.
 
Mwanamke asomeshwi... Bali husomeshwa na wazazi wake.... Usimsomeshe mwanamke ewe kidume... Maana imeandikwa...
 
R.I.P broo
 
We fanya kama unatoa msaada tu! Usiweke mawazo sana kwake ili ata akija kukusaliti usiishie kujimurder!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…