Nimsomeshe kisha nimuoe aje kua mke(akimaliza form four)

Nimsomeshe kisha nimuoe aje kua mke(akimaliza form four)

Mnaotaja kigezo cha i, mi nitakua 27 na yeye 18 akimaliza form four, noq am 23 , she is 14,

Nimempita miaka tisa
 
Imekula kwako na usitegmee kumuoa eti kwa kuwa umemsomesha. Hapo unawatengenezea njia wenzako
 
Fanya maisha yako achana naye bado anasafar ndefuu ya masomo pia hawez kuwa mwanamke wa maisha yako kwani hata umri wa reasoning ukifka utakuwa muhenga kwake wazur wapo wengi
Hahaha huyu anasumbuliwa na genye wala si muoaji.

Yaani anaweka order utafikiri chakula?
 
Kumsomesha mchumba najua kumewaliza na kuwatesa wengi, bahati mbaya au nzuri nami nimeangukia katika mtego huo.

Kutokana na hali ya kiuchumi najua sitaoa kwa miaka miwili mitatu ijayo.

Nimeona nimlee mtoto ambae kwa kweli ni mzuri na anazidi kupendeza.

Yeye hajui chochote, nimeongea na mlezi wake kakubali. Ila najua kuna mawili, ukiacha kifo kututenganisha, ni aje abadilike awe na tabia mbaya au anikatae.

Najipanga kisaikolojia kwa yote huku nikimuomba Mungu kwangu na kwa huyu mtoto asibadilike na aje anipende.

Dua zenu pia ushauri nini naweza fanya kudhibiti tabia na mengineyo kwa wenye uzoefu na wajuzi.

Hayo ni majukumu ya wazazi au walezi na usifanya kosa la kijinai la kwenda kumsomesha binti/mke mtarajiwa wa mtu wakati wadogo zako au wazazi maisha yao ni taabu kule walipo hata kama wako mjini. Kwanini usiangalijiendeleza wewe zaidi ili uje kuoa mwanamke angaa mwenye cheti cha kazi(yaani shahada = Degree moja!) usiangalie nyuma, angalia mbele wengine wana PhD wewe unafikiria kidato cha nne?! Wasichana wapo wengi ambao wameona mbele hasa baada ya kuletwa sekondari za kata nchi nzima na ni bure, hakuna kulipa ada!!!! Wake up boy.
 
Oa kwanza kisha peleka skuli.. kinyonga huwa anabadili sana rangi
 
Yuko under 18 na anaanza form one mwakani
Mkuu huoni hilo ni kisa kisheria kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtoto wa shule tena umekiri mwenyewe kuwa yupo under 18, naona km 30years ya kukaa segerea inakunyemelea.
 
Mkuu huoni hilo ni kisa kisheria kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtoto wa shule tena umekiri mwenyewe kuwa yupo under 18, naona km 30years ya kukaa segerea inakunyemelea.
Sina mahusiano nae wala hajui hili,
Niayangu ni kumsomesha then nije nioe akimaliza. Au nia pia ni kosa kisheria
 
Ukimsomesha akijitambua na kufika chuo! Nitakuja kumshawishi nimuoe Mimi! Na nikipita mtaani nitajisifu sana kwa kuoa mke msomi ambaye umemsomesha wewe! Nafikiri hivyo ndio itapendeza zaidi.
 
Sina mahusiano nae wala hajui hili,
Niayangu ni kumsomesha then nije nioe akimaliza. Au nia pia ni kosa kisheria
Sasa km nia nikusomesha baadae umuoe, vipi asijue kuwa unamsomesha kwa lengo gani, huoni kuwa unatengeneza mazingira ya yeye kuja kulipa fadhila na so mapenzi kwako,
 
Kumsomesha mchumba najua kumewaliza na kuwatesa wengi, bahati mbaya au nzuri nami nimeangukia katika mtego huo.

Kutokana na hali ya kiuchumi najua sitaoa kwa miaka miwili mitatu ijayo.

Nimeona nimlee mtoto ambae kwa kweli ni mzuri na anazidi kupendeza.

Yeye hajui chochote, nimeongea na mlezi wake kakubali. Ila najua kuna mawili, ukiacha kifo kututenganisha, ni aje abadilike awe na tabia mbaya au anikatae.

Najipanga kisaikolojia kwa yote huku nikimuomba Mungu kwangu na kwa huyu mtoto asibadilike na aje anipende.

Dua zenu pia ushauri nini naweza fanya kudhibiti tabia na mengineyo kwa wenye uzoefu na wajuzi.
Akifika secondary atapata boyfriend na kwakua haujamwambia malengo ya kumuoa....
Vile vi boy friend vitakua vina dinya dinya, sasa sijui hapo utavumilia?
Ukishindwa kuvumilia mtagombana na utaanza visa na kujuta....
Take risk if you succeed you will lead, if you lose you will learn
 
Sasa km nia nikusomesha baadae umuoe, vipi asijue kuwa unamsomesha kwa lengo gani, huoni kuwa unatengeneza mazingira ya yeye kuja kulipa fadhila na so mapenzi kwako,
Siwez kumgusia sasa, at least akifika form three , kwa nnavyoona mimi
 
Siwez kumgusia sasa, at least akifika form three , kwa nnavyoona mimi
Hapo unakosea mkuu, upendo wako kwake hautoshi pasipo yeye kukupenda, namaanisha dhamira yako ni njema kwa unachokitarajia mbeleni lkn kwake itakuwa tofauti kwakuwa inawezekana yeye hajakupenda, akalazimika kuwa na wewe kwa shinikizo la kumsomesha, My take hakikisha upendo wake kwako ndio ufanye maamuzi.
 
Back
Top Bottom