Nimtazamo tu

Nimtazamo tu

SURN

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
319
Reaction score
36
Habari za mahangako ya maisha watanzania wenzangu...siku zote najiuliza sipat jibu kwanini wananchi wengi wakitazania ni masikin?.wakati kuna rasimal nyingi sana ktk nchi ye2 kwa mf madini,misitu,bahari/bandari,ardhi na vingne vingi..kwanin sasa tuish haya maisha yakimasikin kiasi hiki? Je tunashndwa kutumia rasilimal 2lizo nazo? au wazungu wame2zid akil?, au MUNGU alisha 2pangia 2ish hv?au viongoz we2 ni vilaza? lakn mtazamo wangu ni kwamba hii nchi 2nge2mia hzo rasilimal vzr isingetakiwa 2ish hiv,rasilimal 2lizo nazo haziendan kabisa na maisha ye2 na ndo maana mataifa meng wanabak ku2shangaa kwa nin mwananch wa tz ni maskn kias hk..wanataman.wangezaliwa nch hii na wangekuwa raia wa nch hii lakn nafas hyo hawaipat..je mtz mwezangu ambae upo hapa unajivunia nin ktk nchi hii?ninachotaka kusema uongoz uliopo au uliokuwepo haujataka ku2mia rasilimal vzr ndo maana leo 2ko hapa..bila shaka 2kipata uongoz mzr unaojua ku2mia rasilimal vzr 2taish maisha mazur na si yakusua sua kama sasa..chukua hatua mtz mwenzang
 
Bandar 2 inaweza kuendesha nchi hii kama 2taitumia vzr
 
Back
Top Bottom