Nimuache au?

Nimuache au?

zayn stunning

New Member
Joined
May 4, 2012
Posts
1
Reaction score
0
mm ni dada wa tz, yaani mbongo mwenzenu nina matatizo kwenye mahusiano yangu naomba ushauri.......... niko na guy 1 2likua na relation nzur kias miaka 3 iliyopita then 2kawa apart az i went far kwa masomo (mikoa tofauti ila ni hapahapa tz)! 1 day 2kakutana facebuk 2kaanza relation tena, ila kuna vi2 ananiboa na ninajiuliza je ananipenda au vp, anaweza akajikausha asipige simu kwa 2 days na siku akipiga anadai amenimiss!

Pia anapenda kunisimulia stor za ma ex gf wake wat is ths ............ shud i quit o? i tok to him mra nying bt anarudia same mistakesanadai ye honesty sana thts y anasema kila k2 na haoni if its aproblem, anahis nina wivu sana ila si kweli i thnk hii ni kawaida kwa kila girl (kutotaka kusikia about x gf wa bf wako)............ pliz help!
 
sepa faster wala usigeuze shingo
 
icho kitu feki tafuta original humu humu jf mi mwenzio nshapata dadaaaa!!
 
Uamuzi wa kuwacha ni wako, nashangaa mtu akitaka kuwacha ka boy friend/girl friend kake lazima aje kuomba ushauri :bounce:
 
mm ni dada wa tz, yaani mbongo mwenzenu nina matatizo kwenye mahusiano yangu naomba ushauri.......... niko na guy 1 2likua na relation nzur kias miaka 3 iliyopita then 2kawa apart az i went far kwa masomo (mikoa tofauti ila ni hapahapa tz)! 1 day 2kakutana facebuk 2kaanza relation tena, ila kuna vi2 ananiboa na ninajiuliza je ananipenda au vp, anaweza akajikausha asipige simu kwa 2 days na siku akipiga anadai amenimiss!

Pia anapenda kunisimulia stor za ma ex gf wake wat is ths ............ shud i quit o? i tok to him mra nying bt anarudia same mistakesanadai ye honesty sana thts y anasema kila k2 na haoni if its aproblem, anahis nina wivu sana ila si kweli i thnk hii ni kawaida kwa kila girl (kutotaka kusikia about x gf wa bf wako)............ pliz help!

kwani simu yako wewe ina uwezo wa ku'receive calls' tu?
 
mwanzo alikuwa hivyo? kama kabadilika achana naye anakupotezea muda tu.
 
mm ni dada wa tz, yaani mbongo mwenzenu nina matatizo kwenye mahusiano yangu naomba ushauri.......... niko na guy 1 2likua na relation nzur kias miaka 3 iliyopita then 2kawa apart az i went far kwa masomo (mikoa tofauti ila ni hapahapa tz)! 1 day 2kakutana facebuk 2kaanza relation tena, ila kuna vi2 ananiboa na ninajiuliza je ananipenda au vp, anaweza akajikausha asipige simu kwa 2 days na siku akipiga anadai amenimiss!

Pia anapenda kunisimulia stor za ma ex gf wake wat is ths ............ shud i quit o? i tok to him mra nying bt anarudia same mistakesanadai ye honesty sana thts y anasema kila k2 na haoni if its aproblem, anahis nina wivu sana ila si kweli i thnk hii ni kawaida kwa kila girl (kutotaka kusikia about x gf wa bf wako)............ pliz help!

Nyie wapenzi aina gani mnaoachana baada ya kuwa mikoa tofauti?
Mmekutana wote ( ) jaza mwenyewe
OTIS
 
Sema na moyo wako na kisha chukua hatuaKama anyoyafanya huyapendi na umeshamwambia na habadiriki, Tafuta jinsi ya kumbadirisha ili usiendelee kuumiaKama moyoni unaona ni heri kumvumilia huyu, endelea tu kuvumilia
 
Huyo hakupendi tena wala nini . inawezekana uliomuonjesha mapema.
 
ipokutafuta hizo siku mbili we unamtafuta, au kwa sababu we ni she ndo utafutwe tuuu wewe, hebu take trouble kama wiki nzima uwe unampigia then uache uone na yeye atkupigia au ataacha..akiacha mwage hafai, kuhusu story za ex wake akikupigia usimsaport kaa kimya atajistukia ataacha akiwa kinganganizi na hizo story piga chini huyo hajitambui
 
dunia ni yako, chaguo ni lako

kama huridhiki kuwa single ni bora zaidi
 
angalia kama unaweza kuvumilia,vumilia.kama huwezi na unaumia moyoni sepa...life is too short ila hujasema na wewe unaweka effort gani asipopiga simu ,unampigia au na wewe unauchuna?
 
fuata moyo wako mapenzi hayana ushari coz kilichokufanya umpende mtu wakijua mwenyewe na reasons ya kuendelea nae au kutoendelea nae ipo moyoni mwako usiache angali unapenda
 
Back
Top Bottom