Watalaam wa mahusiano wa kiume na kike
Siku za karibuni nimeanza kuvtiwa "kihisia" na member 1ja wa kike.
Tatizo langu ni domo zege sijui nianzeje .lakini kila nikiona comment yake roho inasuuzika.teh teh teh . KIla nikiona Avatar Uwiiiiiii bababe udenda ndo unanitoka kabisa
Imetokea tu ghafla sijui umbo lake ,hobbies zake dini yake wala kabila lake.
Kibaya au kizuri zaidi naogopa kumwambia sababu sipendi na nachukia kukataliwa. Naweza kuugua mwezi mzima au nikakimbia hata hapa JF .
Nimuanzeje?
Nawasilisha kwa ushauri nasaha

walai tena hii kali...teheehe...nishasikia watu wanazinguka na sauti kwenye simu..sauti redioni nk...sasa wewe unazinguka na comment!! maandishi! du! kaka.....we kiboko.
Muanze kwa kumuuliza jinsia yake vinginevyo utahadaika. Wewe unatolea avatar udenda. Lol
Ha ha ha pole mkuu unaweza kuanza kwa kumPM!
Ach utani kaka yaani nimuulize wewe jinsia gani si nitakuwa nimearibu mwanzo kabisa. Ebu nipe wazohata kwa PM mstari wa kwanza kumuandikia uweje. Tusaidiane jamani. Sijawai kupata hisia hizi lazima atakuwa ni mdada tu. labda kam ana mwenzaSamora said:Muanze kwa kumuuliza jinsia yake vinginevyo utahadaika. Wewe unatolea avatar udenda. Lol
am pm haya manenohahahahahaha lol ......
kama ingekuwa ni we ungefanyaje??
am pm haya maneno
m your secret admirer,
Your the one I desire..
From the first time i saw you comment, my feelins for you sparked like fire
Please try to understand,
Im afraid to let my feelins show,
But I dont want to be left alone...
I just want to hold you close and never let you go..
But so far all I have are dreams of you
I never thought it was possible to fall in love with you..
Your so sweet and caring..
I must be dreaming..
Im your secret admirer,
If only you knew that my love for you has been set on fire
But im trying to be careful,
I dont want to be left heartbroken..
Im just your secret admirer,
And thats all I'll ever be..

AFrodenzi said:wao i was not expecting that..
but wao your realy goood....
yes sweety i will meet u at bibi Nyau place
Mtazamaji u should read this... myb get same idea ...
but be careful myb she is merride..
kuna pande mbili za shilingi.......
Mkuu nimekukubali uko tight kwa mashairi.. :hail:
Aksante nakutunuku nishani ya Dr wa heshima kwenye fani ya mahusiano na mapenzi. Lakini nikitumia hiyo lugha nisiyokuwa na ufasaha nayo akinijibu kwa hiyo hiyo lugha si nitachemsha. Any way nitajitahidi kutafsiri hiyo mistari.
Duh! hii kali! yaani we mtazamaji comment tu zinakuchanganya!? OOps ila tupo wengi mkuu Mtazamaji! mmhh:A S wink:
Aksante nakutunuku nishani ya Dr wa heshima kwenye fani ya mahusiano na mapenzi. Lakini nikitumia hiyo lugha nisiyokuwa na ufasaha nayo akinijibu kwa hiyo hiyo lugha si nitachemsha. Any way nitajitahidi kutafsiri hiyo mistari.
Afrodenzi Am reading and interprating it in swahili.Dont be suprised and let me down may be wewe ndo mlengwa
hahahahahha lol hata wewe lol..
mbona hukuni julisha hilo ???