Nimuanzeje ?

Si unajua tena mambo ya kuvuta kasi! nataka kwenda kwa babu! nikirusha tu ndoana basi kitu na boxi! lol!!:ballchain:

hahaahhah lol all the best ..
babu kweli mtaalum labda anaweza akupe maneno ya busara lol
siku ukitoa hiyo ndoano ndani ya maji utujulishe...lol
 
Mtazamaji kama lilivyo jina lako kama umeshindwa jinsi ya kuanza ni bora ulitumie jina lako kwa kuendelea kutazama tu! Jina mtazamaji leo unataka uaze kuchakachua huoni kazi uliyonayo ni kubwa? baki kama Mtazamaji tu
Kaziniliyonyo ni kuwa kamanda ndo maana nimeomba ushauri nyie wataalam najua mnamaliza wenyewe.

Kuendelea kutazama tu hapana skubaliani na wewe .Nimeshatazama vingi tu tena vingine navijua lakini sipati "hisia" yeyote. Sasa huyu mlengwa simjui lakini na m feel tena zaidi ya mara moja.
 
hahaahhah lol all the best ..
babu kweli mtaalum labda anaweza akupe maneno ya busara lol
siku ukitoa hiyo ndoano ndani ya maji utujulishe...lol

Yap and they said Subira yavuuuuta kheeriii!:A S-coffee:
 

...ni "nanihii" nini? aha ha...

"Regret for the things we did can be tempered by time; it is regret for the things we did not do that is inconsolable."


sema nae tu,
kupigwa kibuti ndio uanaume huo!
 
Mwanaume unaogopa kukataliwa ..hehehe pole sana Mtazamaji
lakini katika haya mambo ni lazima ujue kuna kukubaliwa na kukataliwa ..na pia nadhani huyo mhusika atakuwa mstaarabu tu itakuwa ni kati yenu wawili akikataa ,akikubali mtajua nyie wenyewe
Good luck
 

Mtazamaji hutakiwi kwenda ukiwaza kuwa kuna uwezekano wa kukataliwa.

Ushairi ushapewa ule, fanya mambo.
 


Kama mtu anayekuzingua ni DaSophy, nitafute.
 
Aisee.....kazi ipo hapa!!
Nafikiri Asprin ama The Finest wanaweza kukusaidia kwa karibu zaidi....
Or any member of ISC for that matter....maana hawa wamesomea hii kitu...:A S tongue:
 
Aisee.....kazi ipo hapa!!
Nafikiri Asprin ama The Finest wanaweza kukusaidia kwa karibu zaidi....
Or any member of ISC for that matter....maana hawa wamesomea hii kitu...:A S tongue:

Sahihisho kidogo: Hatujasomea ila TUNA VIPAJI.
 


mwana me sikushauri uanze kupagawa na comment.inawezekana uliyemzimia sio manzi, ni chalii kama wewe.
 
mwana me sikushauri uanze kupagawa na comment.inawezekana uliyemzimia sio manzi, ni chalii kama wewe.

Ndio inabidi amwambie haraka sana ili kama kumbe ni chalii apate kufuta hizo hisia.
 
Nimeona nikianzisha shule ya kujifunza utongozaji itanilipa sana
naanzisha , itakuwa pale migomigo
maombi yatummwe haraka
shule inaanza januari mapema iwezekanavyo
woooooote mnakaribishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…