Nimuelewe vipi huy demu,,au nimueke kundi gani ?

bro hapo umechemsha kujifanya eti mkapime!hujafikiri kwa kina,kwa nini umekimbilia hilo swali? la kupima?ulikosa mtego mwingine wowote?fikiri kwanza kabla ya kutenda,kwani wewe ulitaka nini kwake kuoa au?:mullet::A S 13:
 
Never know my friend,mambo yanaweza kubadilika,watu hupima kwanza sio wakati mushapigana na viambaza eti munaowana ndio mupime kama tushaambukizana jeee ? Hapo siku chemsha ila nilitaka kuwasha moto tu,,,hehehe
 
Ungetumia jabulan kwanza...chapa ilale mpango mzima
 
Back
Top Bottom