Nimuoe nani kati ya hawa, naombeni ushauri

Na hapo ndo matatizo huanzia[emoji23][emoji23][emoji23]....aisee hizi moyo hizi!
 

Oa mwenye tako kubwa.
 
OA MWENYE TAKO KUBWA MZEE
 
Ukimuoa Nurath utaenjoy ndoa na ndio anakupenda kweli ukiacha makandokando ukaconcetrate nae utampenda ila felister nina wasiwasi Kwa maelezo yako.
 
Mkuu haya maisha ni zaidi ya wewe kumpenda mwanamke,90% ya wanaume wameoa wanawake ambao walidhani watapita tu but mwishowe ndio wake zetu.

Hata kama huyo Felister asingekuwa na mtoto bado chaguo sahihi kwako angekuwa huyo wa Chuo.

Achana na mambo ya dini za wakoloni,shika motto muanze maisha.Kama hutamuoa nipatie Mimi namba yake.
 
Umemaliza kila kitu ashindwe mwenyewe uyo muoaji
 
Kama asipo kuelewa hapa ana shida
 
Aliye waambia muowe nani aisee unasaliti chamaa usije kutuomba ushauri humu kuwa ndoa fyoko fyoko
 
Asante sana kwa ushauriii mkuu
 
Mm mwanamke akishakuwa na mtoto anakuwa na Automatic Disqualification. Haijalishi ana sifa za ziada kiasi gani. Sema ndio hivyo tunatofautiana vipaumbele.

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…