Nimuoe yupi kati ya watatu hawa?

Nimuoe yupi kati ya watatu hawa?

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
321
Reaction score
53
Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe.

Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua tayari amepata mchumba na si siku nyingi amewahidi kunipeleka kwa utambulisho.

Mwingine na watatu,ni darasa la saba ila ni mfanyabiashara,hapendi kuona mimi napata taabu pale ninapokua na tatizo na hujitahidi kunitumia pesa kama hivi nilivyo hapa chuoni.

Nisaidieni kimawazo,kwani wote pia wanaupendo wa dhati pamoaja nami.Kwa mfano:aliopo diploma amenitumia simu wiki ilopita,wa udom alinipatia sana fedha ya kula nikiwa field,wakati huo bodi ya mikopo walikua hawajanipa fedha na watu mwanzoni mwa wiki alinitumia 20,000/=kukabiliana na matatizo madogo-madogo.

Nifanyeje mimi,mwenzenu.Napata wakati mgumu kujua nimuoe nani na niwache wakinani!
 
Wewe unamenda yupi kati ya hao wote watatu? nakushauri umuoe yule ambaye unampenda kwa dhati moyoni na yeye anakupenda
 
oa yeyote tena usiwapotezee muda wengine. Wanaume huwa tunafanya maamuzi haraka maana unapozidi kuchagua ndipo unapozidi kuongeza hatred kati yako na wao utakapowaacha. Wengine wanakuchagua kama wewe unavyochagua hivyo ukiwaacha utakuwa umewarahisishia uchaguzoi wao.
 
Mbona unakuwa mwanaume wa ajabu!we unawaona wa maana coz wanakupa misaada!we kama una mpango wa kuoa baki na m1 na sio kuwapotezea wenzio muda
 
ukiwa hujawaoa huwa wanajitahidi sana kutoa vijimisaada kama hivyo lakini ukimweka tu ndani hutaona hata siku moja na itabadilika kuwa wewe ndio ATM baba! chagua wewe unaona anakupenda na utaendana nae na awla usiangalie ana nini.



Ukichaguachagua sana utapata Koroma
 
mmmh we maryooo au? mtoto wa kiume ww? au kike? unapenda huduma 2 nadhan..... nways angalia ni yup unaempenda ambae utaweza ishi nae.
 
Hapo hayupo hata mmoja utakaemuoa,...
Wote hawakustahili,.coz u r nt mature enough to Marry someone..
 
Sasa si ndo maana nikamshangaa yeye ndiye anayewajua tena anatuuliza sisi bwana. Sasa tukimshauri sisi twawajua hayo aliyoeleza ni madogo sana......
 
naona vigezo unavyotumia sidhani kama vitakusaidia kupata mke aliye bora kwnai karibu wote unajaribu kuwalinganisha kielimu na kipato lakini hujagusa upendo wao halisi
 
bado hujakua...........mijanaume mingi tupo hivi..tunaona raaaha kuwapanga foleni..afu km ivi tena unatumiwa vivocha unajiona umefika...kuwa makini kijana...chagua mwanamke m1 unaempenda na yeye akupende...kuwa nae ukiona mnatofautiana piga chini tafuta mwingine utakaeona anakufaa..........huko kuwapanga unaezajee?kwanza am sure hupati muda hata wa masaa ma2 kukaa na mmojawapo maana angekustukia..kuwa huru kaka life is too short kujipa stress za wanawake mia...by the way sio ujanja nowdays kuwapanga...HAPPY AIDS DAY
 
Waoe wote tu...maana inaonekana unapenda sana vitu vyao wanavyokupa
 
wewe mwenyewe unategemea kupewa,
mi naona uolewe na mmoja kati ya hao wadada inatosha.
 
ukitaka kuoa kwa historia,mwalimu anafaa ila wewe cheki wapi unapenda
 
oa wote na kila mmoja awe na mji wake, c pendapenda wewe! km unaweza iga style za mapredezee! ah kumbe unalelewa bado unajifanya unamaamuz!
 
Inaonekana kipaumbele chako cha kuoa ni kuangalia yule anayekupa hela zaidi si ndio? Wazungu wanamsemo wanasema 'Don't get it twisted' & 'read between the lines', love is not about money. Think again, think & think!
BTW, maelezo yako bado hayajajjitosheleza kiasi cha mtu kukushauri umwoe yupi kati ya hao, Fungukaaa
 
Back
Top Bottom