Nimuoe yupi kati ya watatu hawa?

Nimuoe yupi kati ya watatu hawa?

Sidhani km unawapenda hao wote ila unawatumia tu kukidhi haja yako/zao na si vizuri hivyo.
Kuwa na mmoja tu ambaye una malengo nae na sio wote watatu itakuja kuwa vibaya pale wakija kufahamu ya kuwa wote wanachanganywa na huwa inauma sana hiyo.
Funguka mkuu kwa kuwaeleza ukweli ni yupi unayempenda na kuachana na hao wengine.
 
chungaa tamaaa mbayaaa...wee wanakupaa na wao wanapewaaa,jumlaaa ukimwiiii.mwanamke sio kukusaidia vijii fedhaa unaona ndo mapezni,kijana somaa kuna ukimwii.we unatamaaa ya matirial thing huna kitu love.embuu achaa kuwapotezea wezako mdaa
 
We oa wote watatu, kwani tatizo nini? Mbona Mswati ana wake karibu kumi na anadunda tu.
 
Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe.

Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua tayari amepata mchumba na si siku nyingi amewahidi kunipeleka kwa utambulisho.

Mwingine na watatu,ni darasa la saba ila ni mfanyabiashara,hapendi kuona mimi napata taabu pale ninapokua na tatizo na hujitahidi kunitumia pesa kama hivi nilivyo hapa chuoni.

Nisaidieni kimawazo,kwani wote pia wanaupendo wa dhati pamoaja nami.Kwa mfano:aliopo diploma amenitumia simu wiki ilopita,wa udom alinipatia sana fedha ya kula nikiwa field,wakati huo bodi ya mikopo walikua hawajanipa fedha na watu mwanzoni mwa wiki alinitumia 20,000/=kukabiliana na matatizo madogo-madogo.

Nifanyeje mimi,mwenzenu.Napata wakati mgumu kujua nimuoe nani na niwache wakinani!

soma kijana acha longolongo
 
mkuu naona zingatio lako kubwa ni financial worthyness yao, nafikiri kuna mambo chungu tele yaku ainisha zaidi ya kuwa tu huyu ana-elimu hii au huyu amekuhonga simu. Inabidi uangalie ni yupi hasa mnalandana (chemistry), mnamatarajio chanya(future) na ambae pia umemridhia moyoni, siamini kwamba ww upo neutral kwa wote watatu. Jibu unalo wewe maelezo uliyotoa hapa hayawezi kusaidia kukupa jibu maana hili suala liko very subjective na hutegemea visifa vingi ambavyo vingine havielezeki, kwa mfano wengine humpenda fulani kwa kuwa ni mcheshi wengine kwa kuwa hodari mchezoni au kwa kuwa hukufanya kujiskia kamili ukiwa naye au pengine hodari wa mapishi n.k. Hebu fuata hisia zako hakika huto kosea.
 
Ya leo kali sasa ukikutana na mwingine akakuhonga laki spensa itakuwaje naona ndio utawaacha wengine wote haaa haaa..bak 2 topic.pesa ni maua yanachanua na kunyauka....mapenzi ya kweli hayachagui pesa ila mtatafuta wote.Wengi yamewakuta masimango ya kutosha kwa kupenda mteremko..maliza kimoja shule ndipo uanze maisha (ila hiyo foleni yako duuu sijui lol hapo huna hela unawapanga ukiwa nazo c utajaza level seat????
 
Oa anayekupa hela au zawadi kuliko wote. Si ndo kipimo chako.
 
Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe.

Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua tayari amepata mchumba na si siku nyingi amewahidi kunipeleka kwa utambulisho.

Mwingine na watatu,ni darasa la saba ila ni mfanyabiashara,hapendi kuona mimi napata taabu pale ninapokua na tatizo na hujitahidi kunitumia pesa kama hivi nilivyo hapa chuoni.

Nisaidieni kimawazo,kwani wote pia wanaupendo wa dhati pamoaja nami.Kwa mfano:aliopo diploma amenitumia simu wiki ilopita,wa udom alinipatia sana fedha ya kula nikiwa field,wakati huo bodi ya mikopo walikua hawajanipa fedha na watu mwanzoni mwa wiki alinitumia 20,000/=kukabiliana na matatizo madogo-madogo.

Nifanyeje mimi,mwenzenu.Napata wakati mgumu kujua nimuoe nani na niwache wakinani!

Maliza shule kwnz
 
Oa wote

Sasa kama we ni muislamu si uaoe wote?maana iman ya dini yako inakuruhusu
 
kwan vp ukioa wote watatu! Nahis ndo dawa
 
Unaoneka una tamaa sana ya Pesa na unaendekeza Njaa.
Nakutabiria kabla ya 2012 lazima kuna mwanaume atakuwa ame ku Cameroon kwa style hiyo
 
Huon hata aibu kutafuta ushauri wa ajabu watu tunapamba na VVU wew unahangaika na vimisaada vimisaada vimisaada vyenyewe havifai hata kusema bado huna mpango wa kuoa unatuchosha tu jipange upya
 
MARIOOO...!!! unapenda kupewa. Nioe mimi, sikupi hata senti 5 lakini nitakupa penzi toka moyoni. mapenzi hayauzwi...

Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe.

Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua tayari amepata mchumba na si siku nyingi amewahidi kunipeleka kwa utambulisho.

Mwingine na watatu,ni darasa la saba ila ni mfanyabiashara,hapendi kuona mimi napata taabu pale ninapokua na tatizo na hujitahidi kunitumia pesa kama hivi nilivyo hapa chuoni.

Nisaidieni kimawazo,kwani wote pia wanaupendo wa dhati pamoaja nami.Kwa mfano:aliopo diploma amenitumia simu wiki ilopita,wa udom alinipatia sana fedha ya kula nikiwa field,wakati huo bodi ya mikopo walikua hawajanipa fedha na watu mwanzoni mwa wiki alinitumia 20,000/=kukabiliana na matatizo madogo-madogo.

Nifanyeje mimi,mwenzenu.Napata wakati mgumu kujua nimuoe nani na niwache wakinani!
 
oa mwalimu ... walimu wanafaa sana esp katika malezi bora ya watoto wenu hapo baadaye
 
Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe.

Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua tayari amepata mchumba na si siku nyingi amewahidi kunipeleka kwa utambulisho.

Mwingine na watatu,ni darasa la saba ila ni mfanyabiashara,hapendi kuona mimi napata taabu pale ninapokua na tatizo na hujitahidi kunitumia pesa kama hivi nilivyo hapa chuoni.

Nisaidieni kimawazo,kwani wote pia wanaupendo wa dhati pamoaja nami.Kwa mfano:aliopo diploma amenitumia simu wiki ilopita,wa udom alinipatia sana fedha ya kula nikiwa field,wakati huo bodi ya mikopo walikua hawajanipa fedha na watu mwanzoni mwa wiki alinitumia 20,000/=kukabiliana na matatizo madogo-madogo.

Nifanyeje mimi,mwenzenu.Napata wakati mgumu kujua nimuoe nani na niwache wakinani!

Wewe usituchanganye vichwa vyetu. Hapo majibu unayo wewe mwenyewe. Je unataka kuoa eti kwa sababu wanakupa vimisaada?

Ushauri wangu kama bado uko chuo wewe kwa sasa soma tu hayo mengine yatakuja baadaye. Kama namna gani vipi, Oa wote watatu au waache wote watatu.
 
Aaaaa wakuu...kuwa bado anasoma is not a big deal kwan wangap wamepata housemate wakiwa skul?? Wengne wanaponda eti tegemez hvo hawez kuoa, kwan ndoa lazma suti? Au lazma sherehe?
-eti kwa wale wakrsto maana ya mwili mmoja n nin? Mbona wanawake wanaolewa hawana chochote? Au ndo mfumo dume?
-kaka mi nadhan oa moyo wako. Sio pesa wala elimu ya mtu.
 
Mkuu tukushauri uolewe na yupi au uoe yupi, mana ni kama wote hao ndo wenye mamlaka juu yako. na ni kama wewe ndio ambaye utaolewa kwa mantik hiyo yakupenda kutunzwa. BTW. WEWE PEKEE NDIO UNAJUA UNAMPENDA YUPI.
 
Back
Top Bottom