Nimuoe yupi kati ya watatu hawa?

Nimuoe yupi kati ya watatu hawa?

Halafu baadae, mtaanzisha sredi kuuliza kwa nini wanaume wa siku hizi wako kama SHE badala ya HE.
 
kaka kwanza unaonekana huna msimamo coz haiwezekani ukawa na wa2 wa tatu serious ila ninakushauri kwa ss umwombe mungu akuchagulia mke mwema bila ivyo utaingia choo cha kike
 
Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe.

Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua tayari amepata mchumba na si siku nyingi amewahidi kunipeleka kwa utambulisho.

Mwingine na watatu,ni darasa la saba ila ni mfanyabiashara,hapendi kuona mimi napata taabu pale ninapokua na tatizo na hujitahidi kunitumia pesa kama hivi nilivyo hapa chuoni.

Nisaidieni kimawazo,kwani wote pia wanaupendo wa dhati pamoaja nami.Kwa mfano:aliopo diploma amenitumia simu wiki ilopita,wa udom alinipatia sana fedha ya kula nikiwa field,wakati huo bodi ya mikopo walikua hawajanipa fedha na watu mwanzoni mwa wiki alinitumia 20,000/=kukabiliana na matatizo madogo-madogo.

Nifanyeje mimi,mwenzenu.Napata wakati mgumu kujua nimuoe nani na niwache wakinani!

Oa wote tu ukiweza. Ila jiandae tu kwa mchakamchaka wa maisha na migogoro kwa kwenda mbele.
 
kuna dini rinaruhusu kuoa hadi wake wanne,kama upo huko kwenye hio dini,wewe beba wote
 
habarini wanajf, kuna tatizo ambalo nahisi linakumba wasichana wengi ni hivi je ni nani kati ya wapenzi anayetakiwa kutamka neno la kufunga ndoa au kwenda kujitambulisha? ni mwanamke au mwanaume ? nisaidieni
 
dah! Kudadadeki! Unatafuta kurogwa wewe! Unachezea hisia na maisha ya watu..
 
mpaka hapo huna mke.
kaa chini tulia utafute mke.
hao watakupa tu experiece ya maisha ya uhusiano.
lakini mkeo kati ya hao hapo hayupo.
 
Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe.

Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua tayari amepata mchumba na si siku nyingi amewahidi kunipeleka kwa utambulisho.

Mwingine na watatu,ni darasa la saba ila ni mfanyabiashara,hapendi kuona mimi napata taabu pale ninapokua na tatizo na hujitahidi kunitumia pesa kama hivi nilivyo hapa chuoni.

Nisaidieni kimawazo,kwani wote pia wanaupendo wa dhati pamoaja nami.Kwa mfano:aliopo diploma amenitumia simu wiki ilopita,wa udom alinipatia sana fedha ya kula nikiwa field,wakati huo bodi ya mikopo walikua hawajanipa fedha na watu mwanzoni mwa wiki alinitumia 20,000/=kukabiliana na matatizo madogo-madogo.

Nifanyeje mimi,mwenzenu.Napata wakati mgumu kujua nimuoe nani na niwache wakinani!

Watose wote umchukue Husninyo wa humu jamvini
 
Usipate tabu kijana, walete huku kwangu kwa muda wa siku tatu ntakupatia majibu nani anafaa!! we walete tu, waambie kwa Njomba Tope :tongue:

:tongue:
 
U need more time kujiweka sawa ili uwe mume unayeweza tunza familia.
 
unapenda mwanamke wa tabia, kipato au??
 
...kwenda huko huna maana hata kidogo..na usipo angalia utaja uolewe na bwana wa huyo akupatiaye pesa..
 
Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe.

Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua tayari amepata mchumba na si siku nyingi amewahidi kunipeleka kwa utambulisho.

Mwingine na watatu,ni darasa la saba ila ni mfanyabiashara,hapendi kuona mimi napata taabu pale ninapokua na tatizo na hujitahidi kunitumia pesa kama hivi nilivyo hapa chuoni.

Nisaidieni kimawazo,kwani wote pia wanaupendo wa dhati pamoaja nami.Kwa mfano:aliopo diploma amenitumia simu wiki ilopita,wa udom alinipatia sana fedha ya kula nikiwa field,wakati huo bodi ya mikopo walikua hawajanipa fedha na watu mwanzoni mwa wiki alinitumia 20,000/=kukabiliana na matatizo madogo-madogo.

Nifanyeje mimi,mwenzenu.Napata wakati mgumu kujua nimuoe nani na niwache wakinani!

the one you trully love and she loves you back
 
Nyie ndo mnaofanya wanaume waonekane vimeo. sasa we ndugu yangu wanawake wote watatu wa nini? tamaa zilimponza bwana fisi, nyie kuwa saliti huwa sawa ila mkisalitiwa mnaenda kuwakata mapanga. sasa fanya hivi oa wote kama vipi saabu si wote unaamini wanaupendo wa kweli kwako.
 
Mmoja amegraduate Udom mwaka huu,ananisisitiza sana nimuoe kwani tayari ameniona nafaa kua mumewe.

Wa pili anachukua diploma ya ualimu mwaka wa kwanza,huyu tayari amewajulisha wazazi wake kua tayari amepata mchumba na si siku nyingi amewahidi kunipeleka kwa utambulisho.

Mwingine na watatu,ni darasa la saba ila ni mfanyabiashara,hapendi kuona mimi napata taabu pale ninapokua na tatizo na hujitahidi kunitumia pesa kama hivi nilivyo hapa chuoni.

Nisaidieni kimawazo,kwani wote pia wanaupendo wa dhati pamoaja nami.Kwa mfano:aliopo diploma amenitumia simu wiki ilopita,wa udom alinipatia sana fedha ya kula nikiwa field,wakati huo bodi ya mikopo walikua hawajanipa fedha na watu mwanzoni mwa wiki alinitumia 20,000/=kukabiliana na matatizo madogo-madogo.

Nifanyeje mimi,mwenzenu.Napata wakati mgumu kujua nimuoe nani na niwache wakinani!

MAGONJWA NI MENGI ANGALAI AUSIJE KUFA KWA UKIWMI

Pia acha uharibifu wa maisha ya watoto wa waru, ebu fikiria mmojawapo angekuwa binti yako halafu akawa anachezewa hivyo ungefurahia. Ninyi ndio mnafanya wanawake wawe wakatili kwa wanaume zao

pai unalolifanya ni uasherati ambao ni dhambi mbele za Mungu lazima utavuina uichopanda usipotubu na kuacha huo uovu
 
Back
Top Bottom