Nimvumilie mume huyu au nimuache?

Nimvumilie mume huyu au nimuache?

cna hakika nn kikubwa atasema
koz hajawah kunifumania ukiacha kuhis yan yeye tatzo dogo ananuna hata mwezi.hata ukiongea na mtu ambae yy n mgomv wake n kosa kubwa na mtaliwekea vikao

ana necha ya ugomvi enhh?
mh kinuno mwezi jaman?ningempigia:director: masikion afu uyooo ningesepa na kumwambia ukimaliza kununa utanishtua...ahh mambo gan aya ya kugeuzana watumwa?janaume kununa mwezi yahuu?
 
dah!!polee sanaaa asee...mwanaume kama huyo pigaaa chini,miaka minne hamjapata mtoto,mara akurudishe kwenu mienzi kanzaa,unajua aje? ukiondoka kunaa mwezako anakujaa ndaniii.mbilii amejitengaa kwa kuamia chumba kingene,unategemea nini hakuitajii huyo anakufanyaa msukulee fungukaaa na somaa nyakatii ondokaa,unaelimu why unyanyasikee..tafuta ajiraa ondokaa haraka,sikuu atakuletea mke wezako ndani na wewe akakutimuaaa,u still young so unauwezo wa kuwa na mwanaume mwingine,nendaa kalalamike kanisani ubatilishe ndoa
 
Dadamnyonge, unafikiri yeye alikupenda wewe nini? na wewe ulimpendea nini mwanzoni?
 
nnachowaza ndoa yangu n ya kanisan na kama mjuavyo ugumu wake, lakin upande mwingine nataman nam niwe na maisha ya furaha na mtu atakaenijal, kuniheshimu na kunipenda kwa dhat ,na ukizingatia umr wangu mdogo bado ntamvumilia for hw long
Naomba mnisaidie kwa ushaur*

Pole sana dada yangu.
Kwanza nakupongeza kwa kuhimili huo mtihani.

Kwakuwa ndoa yenu mmefungia kanisani kaongee na mama wakanisa pamoja na wazee wengine wa kanisa uwaelezee hicho kisanga...
Naamini kabisa kwa busara zao zenye ujazo wa roho mtakatifu watapata ufumbuzi.
 
Mm n msichana nna miaka 26,nmeolewa na nna mwaka wa 4 sasa katka ndoa.mume wangu amenipita kama miaka 12 hiv
Tatzo ni mume wangu ana wivu sana,asisikie kitu hana haja ya kufatilia km n kweli au lah ye ananihukumu tu.ameshanitoa kwake zaid ya mara 3 nami narudi home, baada ya miez kadhaa huwa ananifata na kutaka nirud tukaish sote.

Nikirud matatizo n yaleyale, hana muda wa kuwa nami hata kidogo, akitoka asbh kurud usiku saa 8 au 9. Had ss cjabahatika kupata mtoto nahc kutokana na stress na hata tendo la ndoa n nadra sana kwetu kwan amehama chumba yapata miez 6 sasa,so ukitaka game had umfate na anaweza akakubal au akaushe.matuc ni jambo la kawaida kwake na gubu ,nyumba yangu, ktanda changu n maneno yake had inakuwa kero.
kila siku ni kuninyanyasa. yan nakosa raha ya kuwa na mwenza,hakuna hata muda wa kupga story na hata akitoka haagi kabsa.
Nampenda sana mume wangu nmejaribu kukaa nae na kuzungumza hakuna unafuu wwt had sasa.

Nmebahatka kumaliza degree ya kwanza chuo cha UD,nawaza nitafute kaz ili niondoke nikaanze maisha yangu upya, nnachowaza ndoa yangu n ya kanisan na kama mjuavyo ugumu wake, lakin upande mwingine nataman nam niwe na maisha ya furaha na mtu atakaenijal, kuniheshimu na kunipenda kwa dhat ,na ukizingatia umr wangu mdogo bado ntamvumilia for hw long!

Naomba mnisaidie kwa ushaur*

Pole sana kwa yanayokusibu.
Kwa kusoma hiki ulichoandika ni vigumu sana kulielewa tatizo lako.
Inaelekea kuna kitu hujasema bado.
Kwa mfano, una matatizo makubwa sana kwenye ndoa yako
kiasi ambacho katika hali ya kawaida
ungejiodokea tu kama walivyosema wachangiaji waliotangulia.
Pia kawaida mwanaume hahami chumba
au kunyima tendo la ndoa bila sababu kubwa ya msingi.
Mwanamke kuhamwa chumba na mumewe au kukataliwa
katika tendo ni tusi kubwa sana (IMO). Mara nyingi wanawake ndio huhama au hata kukataa.
Wewe bado mdogo kiumri na hujazaa
hapo kwa mumeo wala hujaonyesha kuchangia katika upatikanaji wa mali za ndoa ( nyumba na rasilimali nyingine).

Kinachokufunga kamba ni nini? Wanawake wengine hawaondoki kwa sababu:
1. Pamoja na matatizo ya ndoa bado waume wana chembechembe za upendo/mapenzi kwao
2. Ndoa ina watoto na mwanamke anatamani watoto walelewe kwenye familia iliyo kamili
3. Mwanamke keshawekeza sana kwenye ndoa hiyo kwa maana ya miaka aliyokaa, na nguvu zake nyingine
4. Utegemezi kwa mume
Sasa wewe kwenye hizo hapo na nyingine labda utuambie ni kipi kimekunfunga hapo ndipo tukupe mawazo namna ya ku survive.
 
Hivi lakini inawezekanaje sisi tumwambie 'achana nae huyo' au 'endelea kubaki'
Hayo si ni maamuzi binafsi ya mtu?
 
Pole sana kwa yanayokusibu.
Kwa kusoma hiki ulichoandika ni vigumu sana kulielewa tatizo lako.
Inaelekea kuna kitu hujasema bado.
Kwa mfano, una matatizo makubwa sana kwenye ndoa yako
kiasi ambacho katika hali ya kawaida
ungejiodokea tu kama walivyosema wachangiaji waliotangulia.
Pia kawaida mwanaume hahami chumba
au kunyima tendo la ndoa bila sababu kubwa ya msingi.
Mwanamke kuhamwa chumba na mumewe au kukataliwa
katika tendo ni tusi kubwa sana (IMO). Mara nyingi wanawake ndio huhama au hata kukataa.
Wewe bado mdogo kiumri na hujazaa
hapo kwa mumeo wala hujaonyesha kuchangia katika upatikanaji wa mali za ndoa ( nyumba na rasilimali nyingine).

Kinachokufunga kamba ni nini? Wanawake wengine hawaondoki kwa sababu:
1. Pamoja na matatizo ya ndoa bado waume wana chembechembe za upendo/mapenzi kwao
2. Ndoa ina watoto na mwanamke anatamani watoto walelewe kwenye familia iliyo kamili
3. Mwanamke keshawekeza sana kwenye ndoa hiyo kwa maana ya miaka aliyokaa, na nguvu zake nyingine
4. Utegemezi kwa mume
Sasa wewe kwenye hizo hapo na nyingine labda utuambie ni kipi kimekunfunga hapo ndipo tukupe mawazo namna ya ku survive.

tell her
mwambie
 
Pole sana dada yangu.
Kwanza nakupongeza kwa kuhimili huo mtihani.

Kwakuwa ndoa yenu mmefungia kanisani kaongee na mama wakanisa pamoja na wazee wengine wa kanisa uwaelezee hicho kisanga...
Naamini kabisa kwa busara zao zenye ujazo wa roho mtakatifu watapata ufumbuzi.
dada tumeshaenda zaid ya mara tatu nahic sasa nao wametuchoka
naish kwamazoea tu kwa kwel,ila cna raha yyt.c unajua kwa shda na raha niliapa.ila naona muda unakwenda na nawaza ntakufa bila furahia mapnz
 
Pole sana kwa yanayokusibu.
Kwa kusoma hiki ulichoandika ni vigumu sana kulielewa tatizo lako.
Inaelekea kuna kitu hujasema bado.
Kwa mfano, una matatizo makubwa sana kwenye ndoa yako
kiasi ambacho katika hali ya kawaida
ungejiodokea tu kama walivyosema wachangiaji waliotangulia.
Pia kawaida mwanaume hahami chumba
au kunyima tendo la ndoa bila sababu kubwa ya msingi.
Mwanamke kuhamwa chumba na mumewe au kukataliwa
katika tendo ni tusi kubwa sana (IMO). Mara nyingi wanawake ndio huhama au hata kukataa.
Wewe bado mdogo kiumri na hujazaa
hapo kwa mumeo wala hujaonyesha kuchangia katika upatikanaji wa mali za ndoa ( nyumba na rasilimali nyingine).

Kinachokufunga kamba ni nini? Wanawake wengine hawaondoki kwa sababu:
1. Pamoja na matatizo ya ndoa bado waume wana chembechembe za upendo/mapenzi kwao
2. Ndoa ina watoto na mwanamke anatamani watoto walelewe kwenye familia iliyo kamili
3. Mwanamke keshawekeza sana kwenye ndoa hiyo kwa maana ya miaka aliyokaa, na nguvu zake nyingine
4. Utegemezi kwa mume
Sasa wewe kwenye hizo hapo na nyingine labda utuambie ni kipi kimekunfunga hapo ndipo tukupe mawazo namna ya ku survive.

WoS, ndoa yake ni ya 'kanisani'...ugumu wa kuondoka unasababishwa na hilo pia
 
Pole aiseee....
Ila jichunguze kama kwa namna yoyote ile unaweza ukawa umesababisha hali mliyonayo sasa hivi uanzie hapo kwa kujirekebisha.
 
hakuna kilichonifunga,nilikuwa najitahd kuvumilia labda ipo cku atabadilika
.na kujaribu kutafuta njia nyngne za kusolve tatzo kabla ya kuamua kutoka na uki
chukulia n mume wa ndoa so huwez kukurupuka ktkmaamuz.
lakn m sihitaj chcht alichochuma na wala tulichochuma koz mbal na uanafunz
n mjasiriamal

Pole sana kwa yanayokusibu.
Kwa kusoma hiki ulichoandika ni vigumu sana kulielewa tatizo lako.
Inaelekea kuna kitu hujasema bado.
Kwa mfano, una matatizo makubwa sana kwenye ndoa yako
kiasi ambacho katika hali ya kawaida
ungejiodokea tu kama walivyosema wachangiaji waliotangulia.
Pia kawaida mwanaume hahami chumba
au kunyima tendo la ndoa bila sababu kubwa ya msingi.
Mwanamke kuhamwa chumba na mumewe au kukataliwa
katika tendo ni tusi kubwa sana (IMO). Mara nyingi wanawake ndio huhama au hata kukataa.
Wewe bado mdogo kiumri na hujazaa
hapo kwa mumeo wala hujaonyesha kuchangia katika upatikanaji wa mali za ndoa ( nyumba na rasilimali nyingine).

Kinachokufunga kamba ni nini? Wanawake wengine hawaondoki kwa sababu:
1. Pamoja na matatizo ya ndoa bado waume wana chembechembe za upendo/mapenzi kwao
2. Ndoa ina watoto na mwanamke anatamani watoto walelewe kwenye familia iliyo kamili
3. Mwanamke keshawekeza sana kwenye ndoa hiyo kwa maana ya miaka aliyokaa, na nguvu zake nyingine
4. Utegemezi kwa mume
Sasa wewe kwenye hizo hapo na nyingine labda utuambie ni kipi kimekunfunga hapo ndipo tukupe mawazo namna ya ku survive.
 
stak uchokozi wako masikini...ntakugeuza kuwa tajir shaur zako:lol:

we rose............. mi si masikini kiivo bana, ....................humu jamvini tunaye masikini mmoja tu, tena jeuri ile mbaya............... yeah, ......................ndoa tamu jamani, mwacheni mwenzenu avumilie hadi mwisho.................... si mnakumbuka imeandikwa kuwa yule atakayevumilia hadi mwisho ndiye atakayeokoka?...................... au miye ndo sikuyaelewa vizuri yale maandiko??................
 
Pole aiseee....
Ila jichunguze kama kwa namna yoyote ile unaweza ukawa umesababisha hali mliyonayo sasa hivi uanzie hapo kwa kujirekebisha.

tatizo tunapenda kulalamika kuonewa pasipo kujichunguza
 
we rose............. mi si masikini kiivo bana, ....................humu jamvini tunaye masikini mmoja tu, tena jeuri ile mbaya............... yeah, ......................ndoa tamu jamani, mwacheni mwenzenu avumilie hadi mwisho.................... si mnakumbuka imeandikwa kuwa yule atakayevumilia hadi mwisho ndiye atakayeokoka?...................... au miye ndo sikuyaelewa vizuri yale maandiko??................

ahhh wewe so ata nyuk au mbu akikuuma aupaswi kumtoa kwenye ngozi kwsababu YEYE PIA NI KIUMBE CHA MUNGU NA ANAHITAJ DAMU KUISHI?
 
Hizi ndoa nazo...Hebu nijaribu kufuatilia vizuri.....aliolewa akiwa na miaka 22 na Mume wake enzi hizo alikuwa na miaka 34. Sasa hivi mume ana miaka 38. Huyu jamaa mbona naye siyo mzee? Unless kuna tatizo tusilolifahamu, kwanini ahame chumba na kumkimbia mkewe? Siyo mfanya biashara wa Kariakoo kweli? Maana nasikia kule siku hizi stress zinawapelekesha vya kutosha, kwa jinsi biashara ilivyochanganya wanawasahau na wake zao
 
Pole sana mrs nanii,
unastahili pongezi kwa kweli.huyo jamaa anakutesa pasipo 7bu ya msingi hakuna ndoa isiyo funguliwa ilimradi iwe na 7bu za msingi.
Ushauri wangu:
Toa taarifa kwa mshenga wake amwite amweleze makosa yake. Kama itashindikana toa taarifa kwa wazazi wa pande zote mbili nikiwa na maana waeleze wazazi wako nao watawaita wazazi wake na mtoto wao mfanye suluhisho kama itashindikana nenda ktk kanisa mlilo fungia ndoa na waeleze. Kama na hapo hata wasikiliza wa2mishi wa mungu ni halali ubebe kilicho chako utimue na mungu muumba wa vyote atakuinulia mwanaume anaejua nini maana ya mke. Na ndipo atakapo jua mwanamke ni pambo la nyumba, na muonekano wa mwanamke ndio furaha ya mumewe.pole sana.
 
hakuna kilichonifunga,nilikuwa najitahd kuvumilia labda ipo cku atabadilika
.na kujaribu kutafuta njia nyngne za kusolve tatzo kabla ya kuamua kutoka na ukichukulia n mume wa ndoa so huwez kukurupuka ktkmaamuz. lakn m sihitaj chcht alichochuma na wala tulichochuma koz mbal na uanafunz
n mjasiriamal

inawezekana ulikuwa unatafuta njia ya kutatua tatizo kumbe unaongeza tatizo kwa kutmia njia ambazo uliamini wewe ni sahihi kumbe haikuwa sahihi
 
Kilichufungw duniani hata mbinguni kitafungwa na kikivunjwa duniani hata mbinguni kinavunjwa......hapo hakuna ndoa mama wewe ni professional na hakuna mda wa kupoteza hapo, cha msingi kwa vile hamna mtoto you can depart and search for your New life... dada yangu maisha ya leo sio kama hayo unayoishi na kama jamaa ameamua kuwa na chumba chake kabisa basi na wewe unaweza kuwa na house yako Achana naye bwana anakupotezea muda wako......
 
tatizo tunapenda kulalamika kuonewa pasipo kujichunguza

Yeahh mara nyingi kesi za upande mmoja kama hizi hua tunaambiwa kile kinachoweza kumfanya mshtaki aonekane anaonewa wakati kiukweli yeye ndie mwenye matatizo.

Namshauri awe mkweli na nafsi yake...hana haja ya kutueleza sisi ila ajiangalie kwa jicho lisilo na upendeleo aone amechangia vipi kufika hapo walipofika kabda ya kumpaka mwenzake matope huku yeye angang'aa!
 
Back
Top Bottom