Nimwache akapange au niondoke mimi?

ACHANA NAE,CHUKUA MTOTO,midemu ya hivi mi huwa na uwezo wa kuitambua mapema hata kabla ya kuishi nayo,wengine mnashindwa wapi kuitambua
 
Pole sana mkuu,
unamuacha mwanamke kama huyo mwisho wa siku anakuja kuolewa na mtumwingine single mather kama huyo mbona atajuta[emoji23][emoji23]
 

Dah..kwani .mzigo bado unapewa mkuu?....😀😀
 
Mkuu we ni mvumilivu sana,hakuna mtu hapo kabisa
 
Nilimvumilia nikijua atabadilika lakini kadiri siku zinavyokwenda hali inazidi kuwa mbaya zaidi, maana mpaka sasa kajenga uadui na ndugu zangu na mama yangu pia bila sababu yoyote
Hiyo ni mbaya sana, bora ukosane na mawifi lkn sio mama mkwe maana mama mkwe ndio mtetezi.
 
Huyu masikio yameziba, ingekuwa inawezekana kila mwanaume wa humu JF apite nae walau amzabue makofi matatumatatu ya uso akili imrudi.
 
Kama bado una akili na fahamu za kutambua hayo, toroka mapema kabla hajaanza kukulisha limbwata ugeuke kondoo.
 
Mkuu fanya yote usikoseee kuoa, we ulishakosea mara ya kwanza.
 
Kifupi ameshauona wewe ni fala dawa ya jeuri kiburi, nakushauri fanya mpango wa kupata nyumba nyingine bila kumshirikisha na siku ukienda kazini usirudi hamia nyumba mpya muachie kila kitu ndani, akipiga simu mwambie hurudi umeanza maisha mapya, kuhusu matumizi ya mtoto mkatie bima ya afya kama hana na uwe unanunua mwenyewe mahitaji ya mtoto not giving her cash, mtoto akikua mchukue mpeleke kwenu.
 
Wakati wa mahaba motomoto wapenzi (me na ke) wangekuwa wanafanya starehe zao hata miaka 3 bila kuzaa, ingepunguza sana kesi za ustawi wa jamii.
Kasie umewahi kukaa kwenye mahaba motomoto kwa miaka mingapi na starehe ulizifanya kwa miaka mingapi tunataka tujifunze kutoka kwako
 
Kipimo cha uvumilivu wako ni wa hali ya juu..Uzuri mama yako yupo na Mungu amekujalia kipato Mchukue mtoto umpeleke huko. Mwanamke arudi kwao mpaka hapo moyo wako utakapoamua tofauti.Ila kwa sasa hampaswi kuwa karibu rejea maneno yako
Sasa mwezi huu ilikuwa niende kwao nikatoe mahali lakini moyo wangu sasa haumuhitaji tena maana naona tunakoenda nitafanya kitu cha ajabu
 
Chukua mtoto wako akalelewe na mama yako mzazi,acha kufanywa zoba
 
Ungekuwa karibu na mimi ningekunasa vibao vya kitabibu inaonekana ubongo wako una hitilafu na kupata umeme mdogo ambao unapelekea wew kusahau baada ya wiki kadhaa mpuuzi wewe bt samahani
 
Koo mzee father mechi za kirafiki unapiga
 
Kwa story yako kwa jinsi nilivyoisoma mwanzo hadi mwisho,mm nasena wewe nae ni mwanaume jinga,huna msimamo,kwa nini asikuendeshe kama tingatinga?badilika acha uboya,,Achana nae na usimpe hata buku,kuhusu mtoto mchukue akimkatalia tulia ila usitoe pesa,ndani ya mwezi tu lazima aanze kukuamkia,,,eti unakumbuka mala ya mwisho kukuamkia ilikuwa lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…