Nimwache au niendelee nae?

Nimwache au niendelee nae?

Nono ze utamu

Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
34
Reaction score
3
Hakika hakuna anayewahi kubadilika maumbile km mwanamke,wadau hii imemkuta jamaa yangu ndani ya facebook baada ya kuchat na sana na binti mwisho wa siku wakabadilishana no ktk maongezi jamaa akajitambulisha jina kinaga ubaga binti akagundua kuwa anamfahamu jamaa ambaye ni rafiki wa kaka yake je unahisi jamaa afanye nn? kwan binti kaelewa ombi.
 
siyo fb tu,hata hapa JF
 
Endelea nae tu.maana facebook mtu hana vimwana au vibwana zaidi ya mmoja.endeleeni.mkikua mtaacha,mambo ya kupeana namba facebuk.
 
" ya kaisali ya kamalizwe kwa kaisali"

endeleeni kupendana ki fb,japo najua ni wewe imekukuta.
 
"Imeandikwa kwamba msinyimane wakorinto wa pili kwa hiyo ninyi peaneni tu "
 
Naona rutashoborwa umeamua kunifananisha na w watunzi wa nyimbo za mapenzi za ibongo,tehe!tehe!.
 
Kama ni kucheza nae, usitafute balaa na kaka potelea zako na kama unahisi unataka longterm relationship why not mwache atajue baadae.
 
Hakika hakuna anayewahi kubadilika maumbile km mwanamke,wadau hii imemkuta jamaa yangu ndani ya facebook baada ya kuchat na sana na binti mwisho wa siku wakabadilishana no ktk maongezi jamaa akajitambulisha jina kinaga ubaga binti akagundua kuwa anamfahamu jamaa ambaye ni rafiki wa kaka yake je unahisi jamaa afanye nn? kwan binti kaelewa ombi.

Huyo jamaa namjua.
 
Back
Top Bottom