Nono ze utamu
Member
- Feb 7, 2012
- 34
- 3
Hakika hakuna anayewahi kubadilika maumbile km mwanamke,wadau hii imemkuta jamaa yangu ndani ya facebook baada ya kuchat na sana na binti mwisho wa siku wakabadilishana no ktk maongezi jamaa akajitambulisha jina kinaga ubaga binti akagundua kuwa anamfahamu jamaa ambaye ni rafiki wa kaka yake je unahisi jamaa afanye nn? kwan binti kaelewa ombi.