Nimwache au nilee mimba

Nimwache au nilee mimba

Anamkubali sana ex wake...we ni plan B yake baada ya kuona ex hana vision/mission. Ex ataendelea kula papuchi hadi akili itakapokusogea.
 
Asirudi nyumban kwako, akae kwao hukohuko usitoe tumizi hata shiling mia Kwa sababu kubwa Moja 'Huna uhakika mimba ni yako"..ni kosa na dhambi kubwa kulea mimba isokua yako au mtoto asokua wako ili hali imetokea Ndani ya Ndoa.

Namaanisha hivi, Bora kulea watoto wa Singo Maza ulokutana naye anaontayari, kuliko kulea mimba ya kuchepukiwa mpaka anazaa namtoto sio wako.

Wewe mwambie am sorry, Lea mimba yako, Zaa , DNA itafata...akiwa Wako utamuita napo utamuita Kwa mashariti mazito kwelikweli.

Akiwa sio wako, potelea mbali, hujapoteza.

Haya Maisha yanahitaji uwe mbinafsi sana kwanza wewe mwenyewe, Kisha uwe mwema Kwa mtu ambaye ni mwema kwako, na Uwe katili Kwa mtu ambaye ni katili kwako

Kamwe USITHUBUTU kuendeshwa na machozi ya mwanamke, machozi ya mwanamke Huwa ni maigizo, nandio maana wao chochote kile kinachoitaji aonewe huruma, hutanguliza machozi !!!

Hongera, komaa hapohapo, usiachie!!
Huwa nawaambiaga watu USIMUONE HURUMA MWANAMKE MAANA HAWANAGA SHUKRANI KABISA NA AKILI HAWANA
 
Nilitoa mada majuzi juu ya tukio la mke wangu kuwasiliana na ex wake. Naeleza jinsi nilivyomkataza mimba akiwa na miezi miwili na nikagundua bado mawasiliano yapo mpaka imefikisha miezi saba. Nikagundua yaliyojificha, kwamba yule jamaa alitakiwa na yeye ana mimba yake na mke wangu. Wakaenda kupima na wakagundua ni kweli, lakini jamaa akagoma kutokana na muda waliokutana ulikuwa ni siku tano nyuma na mke wangu ndiye aliyemfuata na kudai ana mimba yake.

Nilichofanya ni kumpiga makofi mke wangu mara kumi na kumwondoa kwao. Leo napigiwa simu na ndugu zake wakiomba msamaha kwangu kwa sababu maisha ni magumu sana kijijini. Kama jamaa aliikataa mimba, mawasiliano bado yaliendelea, na yeye anadai kuwa jamaa ndiye aliyekuwa anamsumbua.

Ni kweli kwamba wanaume wanachepuka, lakini siyo kuleta mimba za wasiwasi nyumbani. Bado anang'ang'ania kuwa mimba ni yangu.

===
Pia soma Nilee mimba au nimwache?
Mkuu mrudishe kwao afu waeleze wazazi wake nini kilichotokea bro.
Ndoa yako ni ya kanisani au msikitini?
 
Dogo umeyaingia mapenzi vibaya. Huyo mkeo atakuja kukuua. Nakwambia hili. Weka haya maneno kifuani mwako. Siku ukifa ndo utayakumbuka na uje useme kweli nilikuambia.
 
Na ujue hatokuja mwacha huyo X wake sababu X anamfikisha vizuri. So akizaa watasameheana ataenda tena mpelekea kitumbua jamaa awe anakula. Hili nakuambia. Huyo mwanamke hawezi acha kutiwa na x wake hata kidogo sababu anampenda sana. Hana mapenzi kwako. Mpo wote sababu tu x wake hajamwoa huyo mkeo.
 
Yaani mwanamke kaolewa bado ana nguvu ya kumwambia mtu mwingine ana mimba yake na wewe unaita huyo ni mke? Aisee pole sana
 
Maamuzi yako ndo final decision, ila huyo sio mke tena kulingana na ujinga alioufanya. Mke asiyejiheshimu ni aibu hata kwa familia.
 
Umemaliza mkuu. Mimi hata Kama mtoto ni wangu nikigundua usaliti live options ni mbili(Kama mtoto ameshazaliwa) anipe mwanangu nikalee mwenyewe hata Kama Ana wiki au amlee yeye bila kupata msaada wowote kutoka kwangu.
Na wewe ukimsaliti yeye afanyeje
 
Nilitoa mada majuzi juu ya tukio la mke wangu kuwasiliana na ex wake. Naeleza jinsi nilivyomkataza mimba akiwa na miezi miwili na nikagundua bado mawasiliano yapo mpaka imefikisha miezi saba. Nikagundua yaliyojificha, kwamba yule jamaa alitakiwa na yeye ana mimba yake na mke wangu. Wakaenda kupima na wakagundua ni kweli, lakini jamaa akagoma kutokana na muda waliokutana ulikuwa ni siku tano nyuma na mke wangu ndiye aliyemfuata na kudai ana mimba yake.

Nilichofanya ni kumpiga makofi mke wangu mara kumi na kumwondoa kwao. Leo napigiwa simu na ndugu zake wakiomba msamaha kwangu kwa sababu maisha ni magumu sana kijijini. Kama jamaa aliikataa mimba, mawasiliano bado yaliendelea, na yeye anadai kuwa jamaa ndiye aliyekuwa anamsumbua.

Ni kweli kwamba wanaume wanachepuka, lakini siyo kuleta mimba za wasiwasi nyumbani. Bado anang'ang'ania kuwa mimba ni yangu.

===
Pia soma Nilee mimba au nimwache?
Tunawaambia kuoa ni upumbavu na ulofa hamtaki endeleeni na ukenge wewe sasa
 
Ukiamua kumsamehe na kumrudisha Ina maana umekubali kuendelea kumegewa, hawa viumbe ni vigumu sana kuwatenganisha na ex wao, Mimi yalishanikuta haya, nilimsamehe na akatoa wazo kuwa abadili namba ya simu lakini bado haikusaidia.

Watabadili mbinu tu na si kuachana, binafsi niliamua kuachana na yule Mwanamke baada ya kumsamehe mara mbili, mara ya tatu niliamua kuachana naye lakini baada ya ugomvi mkubwa sana, huenda ningefungwa jela kipindi kile.

Kama unaweza kumuacha muache ila kumsamehe ni kukubali hicho ulichogundua kiendelee hata hivyo hakuna kati yenu atakayekuwa na amani kwenye mahusiano hayo.
Ukweli mchungu ila ndio dawa. Umenena vema. Mwanamke ukithubutu kumsamehe pale unapogundua kuwa amekusaliti ndani ya akili yake anakudharau na ni swala la muda tu atakuonyesha hilo.

Atakaa na wewe kwa machale maana anajua kashaharibu na utamkomesha tu one day. Picha huwa linaendelea hadi itafika point atajikatisha tamaa tena mbaya zaidi kwa kuongea na watu wake wa karibu kuwaambia kuwa alikufanyia jambo fulani baya matokeo yake inamfanya kutojiamini na kuanza kufikiria kumtafuta ex wake akiamini yule ndie aliyeharibu nae so wataelewana.
 
Asirudi nyumban kwako, akae kwao hukohuko usitoe tumizi hata shiling mia Kwa sababu kubwa Moja 'Huna uhakika mimba ni yako"..ni kosa na dhambi kubwa kulea mimba isokua yako au mtoto asokua wako ili hali imetokea Ndani ya Ndoa.

Namaanisha hivi, Bora kulea watoto wa Singo Maza ulokutana naye anaontayari, kuliko kulea mimba ya kuchepukiwa mpaka anazaa namtoto sio wako.

Wewe mwambie am sorry, Lea mimba yako, Zaa , DNA itafata...akiwa Wako utamuita napo utamuita Kwa mashariti mazito kwelikweli.

Akiwa sio wako, potelea mbali, hujapoteza.

Haya Maisha yanahitaji uwe mbinafsi sana kwanza wewe mwenyewe, Kisha uwe mwema Kwa mtu ambaye ni mwema kwako, na Uwe katili Kwa mtu ambaye ni katili kwako

Kamwe USITHUBUTU kuendeshwa na machozi ya mwanamke, machozi ya mwanamke Huwa ni maigizo, nandio maana wao chochote kile kinachoitaji aonewe huruma, hutanguliza machozi !!!

Hongera, komaa hapohapo, usiachie!!
Hata mimi ningemshauri hivi, huyo mwanamke ni drama queen.

Akiikubali hiyo mimba jamaa kaisha, huyo ex hawez kumuacha na ataendelea kuliwa ww ukiendelea kulea tu. Mwanamke anaechepuka kwenye ndoa ni muuaji huyo, siku ya siku watapanga na ex wake wakutoweshe ili walee mtoto wao kwa amani.
 
Hata mimba ingekuwa yako for a 100%, as long amecheat anastahili kuoneshwa mlango wa kutokea. Kaisari alimuacha mkewe kwa kuonesha dalili ya kutaka kusaliti achilia mbali kusaliti kwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke kusaliti kunaanza na kufikiria kuwa kuna mwanaume mwingine. Ndio maana wataalamu wa jinsia ya kiume wanakuelekeza kuwa ukiona mwanamke kwa namna yoyote anakuonyesha kuwa kuna mwanaume mwingine katika Maisha yake yaani mwanaume yoyote yule iwe baba yake, kaka yake, binadamu yake, classmate wake, boss wake, yaani akishakuonyesha elements kuwa kuna mtu wa kiume anamsikiliza kuliko wewe zaidi then huyo mwanamke sio mtii kwako na hivyo hafai kuwa hata kimada.

Piga chini kimya kimya kaanze kwingine.
 
Back
Top Bottom