Wadau wa JF
Nawashukuru sana kwa ushauri wenu , na kweli hapa ni kituo cha kupata majawabu . Pasipo na taarifa na ushauri kweli maaangamivu ni dhahiri. Kwa hilo Bravo saana.
Kuhusina na mada ya Kama ungekuwa wewe ungefanyeje Nimefanya uchunguzi wangu kulingana na maoni mabalimbalai ya wana JF na nimegundua kuwa mwenzi wangu sio mwaminifu . Nimechunguza sana na kugundua kuna watu bado wanmmega na nikimwambia anakataa. Nampenda sana. Nimejaribu kivyangu kumuacha lakini inashindikana , kwani haipiti dk 5 sijamwaza , na nikimuwaza naumia sana roho yangu na nakumbuka siku niliyokutana naye ya kwanza. Naumia sana roho inaruka tu kila mara na hata tu nikisikia sauti yake . Mwishowe najiuliza au kanitendea nini huyu bibi.
Kwa hali iliyopo ya sasa mie niemechunguza afya yangu iko saafi , pamoja na kukaa naye kwa muda mrefu ya uchumba. Baada ya kugundua hayo nikimwambia akachunguze afya yake hataki anasema ataenda akipenda yeye na sio kwa kulazimishwa. Nikisikia tu sauti yake nashindwa hata kuconcetrate kitu chochote.
Je ni njia gani niiitume ili niweze kumwacha na kutokuendelea kuumia kiasi hiki?
Je katika wachangiaji kuna yeyote aliyekutana na dhoruba hii na kama yupo katika depth ipi ya mapenzi aliyokuwa nayo, na je alitumia njia gani kuweza kuondokana na hii adha?