Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baadhi ya wanaume hupenda kujificha nyuma ya vivuli vya wenzao kwa kuogopa committment; so long as anapata anachotaka kiwiziwizi, anajisikia roho kwatu...siku ukimgusia tu kwamba umeachana na b/f wako anajua zigo litakuwa lake sasa, so si ajabu mtu kama huyo akasepa vibaya sana
Magnificent, ndio maana naomba ushauri wenu ili nisipoteze trust kwake. Mkonowapaka wewe mwenzangu una kaexperience, asante sana, u can imagine how I feel now. Nitakupm kwa msaada zaidi.Bra-Joe, si kweli kwamba sina msimamo, but it happens sometimes especially ktk mapenzi.