mwenye dada,
... sasa uone what it feels to be on the receiving end.Je wewe uko mwema na mwaminifu kiasi gani kwa mkeo kama umeoa?
Siku zote mkuki kwa nguruwe, mchungu kwa binadamu.
Im sure ingekuwa ni mwanamke anapata machungu kwenye ndoa, kwa kulalamika kuwa anahisi mumewe ana mahusiano ya nje, ungempuuza. Leo imetokea kwa dada yako unaumia hadi unafuatilia kama kachero wa Scotland Yard! Ndugu yangu - watu wakishaoana, wewe waache watatatua mambo yao wenyewe.Utamuokoaje dada yako? Hilo ni swali lisilo na majibu.