Nimwokoaje Dada yangu??

Nimwokoaje Dada yangu??

Shemeji mwenyewe ulimfuma mtandaoni akisaka demu, so ni mtu wa mtandao. Na sasa pia yuko huku mtandaoni keshasoma kila kitu na ushauri uliopewa keshausoma. Picha imeungua.
 
jamani naona sasa mambo yamegeuka kwa kasi ya ajabu na hiyo ndoa bado changa
Labda shemeji ameshindwa kuridhika na dadaako
Nimekosa la kusema hapa
hujakosa la kusema!!la kusema si hilo la kuwa shemeji wa jamaa ameshindwa kuridhika na dada yake!!!

anyway mi nadhani ni tabia ya mshikaji aliyokuwa nayo toka akiwa hajaoa, na isha ota mizizi! cha kufanya, naamini kuwa kunna picha za harusi yao,hebu attach picha kadhaa umtumie ukimuuliza kama anawafahamu wahusika katika picha hizo!! "huenda atajifunza" na kuzinduka!!
 
Ningekuwa mimi ingemwambia dada yangu afuatilie nyendo za mumewe,hata siku mojs ningempa detail anazotumia kwenye kuchart ili ashuhudie kisha aweze kutafuta la kufanya. haiwezekani dada yangu akapotea namuona hivihivi.

Nahofia asije kuwa naye ni mwana JF akajua. pia huenda wenye tabia hii humu ndani ni wengi, wanameni ni bora tuache tabia kama hizi.
 
skiliza nikuambie kubalian naye chukua na room kisha chonnga na msisiter wako andaa mpango wte mtangulize chumbani agongane na mumewe uko uko
 
hii mbona haijatulia? yaani huyo shemejio ameingia huko
kwenye chat room na jina lake halisi!? kama kafanya hivyo
basi hata ngono zembe ni jadi yake.

ukiamua kufuatilia mambo kama haya basi ni vyema ukiwa
tayari kuchua maamuzi, hata kama machungu, yatokanayo na "utafiti" wako.
hata hivyo kumbuka hukumshirikisha katika uamuzi wa kufuatilia nyendo za
mumewe (huenda anazifahamu tabia za mumewe) hivyo usimpe machungu.

bora umkabili shemejio na kumueleza afanyayo si mema na anaweza kupelekea
kuvunjika kwa ndoa yake. kisha muombe mola kwamba shemejio ajirekebishe.
sijui kama una njia ya kumuokoa dada yako kwani huwezi mshurutisha amuache
mumewe. labda una uwezo wa kuiokoa nafsi yako kwa kuwa na amani kwamba
angalau dada yako umemuonya juu ya nyendo za mumewe
 
mwenye dada,
... sasa uone what it feels to be on the receiving end.Je wewe uko mwema na mwaminifu kiasi gani kwa mkeo kama umeoa?
Siku zote mkuki kwa nguruwe, mchungu kwa binadamu.
Im sure ingekuwa ni mwanamke anapata machungu kwenye ndoa, kwa kulalamika kuwa anahisi mumewe ana mahusiano ya nje, ungempuuza. Leo imetokea kwa dada yako unaumia hadi unafuatilia kama kachero wa Scotland Yard! Ndugu yangu - watu wakishaoana, wewe waache watatatua mambo yao wenyewe.Utamuokoaje dada yako? Hilo ni swali lisilo na majibu.
 
Haya easter imepita hw was it?!
wat dd u do!??
 
Back
Top Bottom