waziri2020
Senior Member
- May 31, 2019
- 197
- 468
Swali ni je utakuwa????Cha msingi uchaguzi uwe huru na haki
Baasi..
Hayo mengine yatabaki kuwa maoni Tu kama uchaguzi ukiwa huru na haki
Yan n arusha mjin na mbeya mjin ndo kuna balaa kubwa
Kwa Gambo Lema ni mweupeUteuzi wa Mrisho Gambo Jimbo la Arusha umepokewa kwa mitazamo Tofauti ukizingatia kwamba siku Rais John Mgufuli akimtumbua ukuu wa Mkoa huo watu wengi walifurahia na kuonekana wakimwaga pombe bar kwa Furaha.
Baadhi walisema kuwa Arusha bila Gambo ,Lema ataendelea kuongoza jimbo la Arusha Mjini.
Hata hivyo kinyume na matarajio ya wengi mji wa Arusha umeonekana kutokuwa na furaha kwa baadhi ya wananchi kuonyesha kutofurahia uteuzi huo na wengi wakihoji kwamba Gambo aliyetumbuliwa na Rais Magufuli kwa kashfa atawezaje kung'ara kwa wananchi?
Mpeleke pale nyumba ya Mungu kuna ziwa magadi patamfaaUteuzi wa Mrisho Gambo Jimbo la Arusha umepokewa kwa mitazamo Tofauti ukizingatia kwamba siku Rais John Mgufuli akimtumbua ukuu wa Mkoa huo watu wengi walifurahia na kuonekana wakimwaga pombe bar kwa Furaha.
Baadhi walisema kuwa Arusha bila Gambo ,Lema ataendelea kuongoza jimbo la Arusha Mjini.
Hata hivyo kinyume na matarajio ya wengi mji wa Arusha umeonekana kutokuwa na furaha kwa baadhi ya wananchi kuonyesha kutofurahia uteuzi huo na wengi wakihoji kwamba Gambo aliyetumbuliwa na Rais Magufuli kwa kashfa atawezaje kung'ara kwa wananchi?
Na Kawe piaYan n arusha mjin na mbeya mjin ndo kuna balaa kubwa